Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz 🇹🇿 tukubali tu

Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.

Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.

Sio kwa Ubaya, ila huo ndo ukweli Mchungu. Tunajidanganya tu eti sijui wataachia nchi! Like how? Hivi hata akili ndogo tu nakosa kweli?

Kwa ubia walio ingia na mataifa, mikopo na mikataba walivyo sign na puppet countries, Unafikiri it is just that simple kuwatoa madarakani? Vita vyenyewe tu vimetushinda, kuandama siku Moja tuu, nchi yote ina simama..

Wakuu, ifike mahala tuache kulalamika kila mtu apambanie ugali wake, nchi ilishauzwa zamani sana, na there's nothing to change, especially for now. Lissu so yuko ndani? Kwani hayo mataifa hayajui what's going on? Mbona haya intervene? Haya mauaji na kutekwa? Mbona majibu yako wazi??

Watanzani tuachane tu na drama, hatuna guts za kuleta change, sisi tumeshamezeshwa Uoga na kujinasua hatuwezi. Kama vijana wanacho penda ni mpira, umalaya, na kubeti Unafikiri hicho macho kieneza mitandaoni wata fwata?

Mimi naona ni bora tukae kimya for now, watu wapigwe kazi, maisha yaendeleebkila mtu ale kwa urefu wa kamba..

Kheri sikukuu ya sabasaba
Siku mabadiliko yakifanikiwa watu kama nyie lazima mshighulikiwe. Wanaume unakuwa muoga kiasi hiki
 
Mkuu leo kuna game kali la colombia na Switzerland
Usilikose

Ova
 
Ile MO29 vijana Walifikiri ukombozi ni jambo rahisi la siku moja. Tena bila kuua na kuuana. Uliona wapi unakomboa nchi wenzako wameshika silaha wewe uko mikono mitupu?

Kingine, unakomboa nchi kwenye angle ipi?
Kwa akili na maadili yapi ya raising?

Hawa Raia wabongo wengi wao ni majizi, wanyanyasaji, wanafiki, wabinafsi, hao ndio wakikomboa nchi ili iweje?

Fikiria mtu anayefikiria kumuibia mwanaume nauli ndiye akombolewe nchi.
Fikiria mtu anayemzalisha mwanamke makusudi kama sehemu ya kumkomesha kisha anamtelekeza ndio akombolewe nchi yake.

Fikiria mtu ambaye akipata pesa kidogo anawaza kuoa mke mwingine. Hashindi nyumbani.

Fikiria jitu linachelewe kazini, linanyanyasa wateja, linatapeli wateja.
Lichungaji linadanganya Habari za ufalme wa mungu. Hao ndio uwakombolee taifa. Hapana kwa kweli!

Muda haujafika
Ukombozi wa wana Israel Mwenyewezi Mungu alimwambia Nabii wake Muda kuwa hiko kizazi chenye makandokando mengi hakiwezi kuikomboa nchi ya ahadi na ikawa hivyo .

Siku nimepanda dalala gari kimeandikwa vingine dereva kwa tamaa zake za kijinga anakatisha ruti bila fidia kibabe wanakuambia abiria shukeni hapa mwisho. Siku nyingine ruti hiyo hiyo dereva mwingine alikatiisha ruti akasema hapa mwisho yeye hafiki kituoni baada ya abiria wote kushuka akapoa kidogo kisha akaanza kupakia kuelekea mwisho wa kituo ambapo awali alisema hafiki na kutushusha abiria mwanzo.

Nikasema Tz kila mtu Mwizi na wengi hatujali haki kama CCM tu , halafu unakuta watu kama hawa nao wakionewa na serikali wanadai haki
 
Ila Kuna ambao hawakuwa na nia ovu
 
Back
Top Bottom