Ile MO29 vijana Walifikiri ukombozi ni jambo rahisi la siku moja. Tena bila kuua na kuuana. Uliona wapi unakomboa nchi wenzako wameshika silaha wewe uko mikono mitupu?
Kingine, unakomboa nchi kwenye angle ipi?
Kwa akili na maadili yapi ya raising?
Hawa Raia wabongo wengi wao ni majizi, wanyanyasaji, wanafiki, wabinafsi, hao ndio wakikomboa nchi ili iweje?
Fikiria mtu anayefikiria kumuibia mwanaume nauli ndiye akombolewe nchi.
Fikiria mtu anayemzalisha mwanamke makusudi kama sehemu ya kumkomesha kisha anamtelekeza ndio akombolewe nchi yake.
Fikiria mtu ambaye akipata pesa kidogo anawaza kuoa mke mwingine. Hashindi nyumbani.
Fikiria jitu linachelewe kazini, linanyanyasa wateja, linatapeli wateja.
Lichungaji linadanganya Habari za ufalme wa mungu. Hao ndio uwakombolee taifa. Hapana kwa kweli!
Muda haujafika