Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tukubali tu

Unayoyapitia ni asilimia ngapi ya Yale wanayoyapitia Palestine tangu 1948?
Acha uoga,time itakuja, haya ma ccm, yatakimbia nchi yataishi kama nguchiro!
Utawala wa kihutu wa, habyalimana, hawa kuamini kwamba vijana waliokulia makambi ya wakimbizi wanaweza kuwachomoa madarakani, ilitokea! Kwa, Idi amin hivyo hivyo, apartheid SA, ili kuwa hivyo, Mandela walimfunga kwa, miaka 27! ANC ikapigwa marufuku, walioandamana walikutana na risasi, kumbuka sharpaville massacre! Mwishowe walitoka!
Time will come,
 
Si ni sawa tu na serikali inavyoumiza wasio na hatia katika baadhi ya mambo.
Ni mifumo tu, sasa Unafikiri wanacho kifanya chadema ni sawa? Hapa issue sio kulipia mambo bali kuchukua hatua zisizo na maafa kwa uma
 
Umetumbukia mtoni Kwa mashindano ya kuogelea umepambana na dhoruba umechoka unatoka kwenye mashindano mara unataka mto ukauke mashindano yasiwepo tena kwani wewe na kizazi chako ndio kipimo Cha mashindano?

Udhani hayo ni mawazo sawasawa au ubinafsi, au ni uvivu, au kukosefu wa upeo na maono tu?
 
Tanzania hakuna raia mzalendo kaka. Ishi maisha Yako ukipata chance ya kula kula. Elimu itakuwa hii hii kwa miaka naenda Rudi hakuna tena miujiza. Ukipata chance ya kwenda nnchi za daraja la kwanza huku usirudi Tanzania
 
Mambo ya sijui samia kafanya nini mimi kiukweli hainihusu kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake..kukikucha jembe begani huyooo shamba kutafuta viugali vya hapa na pale...shida daslam ni ndogo ila watu wamejazana tu huko sasa kwanini maisha yasiwe magumu..hapa nilipo tangu asubuh sijaona hata askari yeyote wapo tuu kituoni wametulia kiufupi hapa shughuli zinaendelea kama kawaida ..poleni watu wa daslam
 
Kwani wewe hauna macho kuona impact ya kilicho tokea?
Mbuyu ulianza kama mchicha. Kilichotokea leo ni mgomo. Mgomo dhidi ya 77 na unaweza kutumika kama kiboko kwa serikali dharimu. Endelea kujifunza jinsi muda uendavyo utaelewa..... Mapambano bado yanaeรฑdelea..,
 
Hapana sio uvivu bali ni kuyaona mambo kama yalivyo
 
Kabla ya maandamano wanajaza vitisho Jf kuwa wanakiwasha , baadae wasipotoka wanasema wamefanikiwa kufanya mji usimame ,sasa hayo ndio malengo mji kusimama ?
 
Tanzania hakuna raia mzalendo kaka. Ishi maisha Yako ukipata chance ya kula kula. Elimu itakuwa hii hii kwa miaka naenda Rudi hakuna tena miujiza. Ukipata chance ya kwenda nnchi za daraja la kwanza huku usirudi Tanzania
Hilo nalo neno, ila yatupaswa wa Tanzania tupendane
 
Hakuna serikali yoyote itakurahisishia maisha ni kupambana na Maisha yako

Za kimkakakati wekeza kimkakakati

Mwanasiasa yeyote hayupo kukukomboa wewe
Upo sahihi kabisa. Wanachohitaji wananchi ni miundombinu wezeshi ili kurahisisha kazi za mikono yao. Ndio maana wajibu wetu ni kulipa kodi
 
Kabla ya maandamano wanajaza vitisho Jf kuwa wanakiwasha , baadae wasipotoka wanasema wamefanikiwa kufanya mji usimame ,sasa hayo ndio malengo mji kusimama ?
Hapo ndo kasheshe yenyewe unajua hizi drama huwa zinatoa false sense of progress
 
Shukran japo hata mm nilikua nikoani kipindi cha Mo29 na si kuona kiumbe Kiki andamana
 
Hapana sio uvivu bali ni kuyaona mambo kama yalivyo
Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ