Wewe ndo umesemaKuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
Kuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.Hapana sio uvivu bali ni kuyaona mambo kama yalivyo
Ok ukitoa mambo ya siasa hata vituvingine. Katika jambo ambalo upeo wako umefikia mwisho si vema kudhani na mtu mwingine hataweza. Watu tunatofautiana sana sana namna tunavyo yatazama mambo na kuyashughulikia. Mtu mmoja tu anatosha kukomboa muda mwingine. Thanks.Wewe ndo umesema
Nimesema kwa kinacho endelea sasa ushauri wangu ndo huo
Nchi haikombolewi na upinzani, Nchi inakombolewa na wananchi.Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.
Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.
Sio kwa Ubaya, ila huo ndo ukweli Mchungu. Tunajidanganya tu eti sijui wataachia nchi! Like how? Hivi hata akili ndogo tu nakosa kweli?
Kwa ubia walio ingia na mataifa, mikopo na mikataba walivyo sign na puppet countries, Unafikiri it is just that simple kuwatoa madarakani? Vita vyenyewe tu vimetushinda, kuandama siku Moja tuu, nchi yote ina simama..
Wakuu, ifike mahala tuache kulalamika kila mtu apambanie ugali wake, nchi ilishauzwa zamani sana, na there's nothing to change, especially for now. Lissu so yuko ndani? Kwani hayo mataifa hayajui what's going on? Mbona haya intervene? Haya mauaji na kutekwa? Mbona majibu yako wazi??
Watanzani tuachane tu na drama, hatuna guts za kuleta change, sisi tumeshamezeshwa Uoga na kujinasua hatuwezi. Kama vijana wanacho penda ni mpira, umalaya, na kubeti Unafikiri hicho macho kieneza mitandaoni wata fwata?
Mimi naona ni bora tukae kimya for now, watu wapigwe kazi, maisha yaendeleebkila mtu ale kwa urefu wa kamba..
Kheri sikukuu ya sabasaba
Sijasema kwamba imeshindikana nimesema kwa strategy inayotumiwa inabidi tukubali haiwezekaniKuona mambo kama yalivyo Katika katika kipimo kipi? wakati mapambano katika jambo lolote ni subjective issue. Wewe unawezaje kuweka mipaka Kwa watu wote waliopo na wajao Kwa kufwata pale akili yako ilipofikia tu? Licha ya kuwa Kila dakika mambo yanabadilika hakuna linalobaki vilevile.
Ok ukitoa mambo ya siasa hata vituvingine. Katika jambo ambalo upeo wako umefikia mwisho si vema kudhani na mtu mwingine hataweza. Watu tunatofautiana sana sana namna tunavyo yatazama mambo na kuyashughulikia. Mtu mmoja tu anatosha kukomboa muda mwingine. Thanks.
Mod Hamna emoji ya dole flaniMimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.
Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu ya kuwatoa... They've built mifumo ambayo no amount of inate opposition wanaweza kuivunja.
Sio kwa Ubaya, ila huo ndo ukweli Mchungu. Tunajidanganya tu eti sijui wataachia nchi! Like how? Hivi hata akili ndogo tu nakosa kweli?
Kwa ubia walio ingia na mataifa, mikopo na mikataba walivyo sign na puppet countries, Unafikiri it is just that simple kuwatoa madarakani? Vita vyenyewe tu vimetushinda, kuandama siku Moja tuu, nchi yote ina simama..
Wakuu, ifike mahala tuache kulalamika kila mtu apambanie ugali wake, nchi ilishauzwa zamani sana, na there's nothing to change, especially for now. Lissu so yuko ndani? Kwani hayo mataifa hayajui what's going on? Mbona haya intervene? Haya mauaji na kutekwa? Mbona majibu yako wazi??
Watanzani tuachane tu na drama, hatuna guts za kuleta change, sisi tumeshamezeshwa Uoga na kujinasua hatuwezi. Kama vijana wanacho penda ni mpira, umalaya, na kubeti Unafikiri hicho macho kieneza mitandaoni wata fwata?
Mimi naona ni bora tukae kimya for now, watu wapigwe kazi, maisha yaendeleebkila mtu ale kwa urefu wa kamba..
Kheri sikukuu ya sabasaba
I know, but kama taifa tunajiangamiza sisi wenyewe. Kwa sasa, kwanini tusiendelee kuongea but without maandamano ambayo kila kukicha yamekuwa na negative impactUnayoyapitia ni asilimia ngapi ya Yale wanayoyapitia Palestine tangu 1948?
Acha uoga,time itakuja, haya ma ccm, yatakimbia nchi yataishi kama nguchiro!
Utawala wa kihutu wa, habyalimana, hawa kuamini kwamba vijana waliokulia makambi ya wakimbizi wanaweza kuwachomoa madarakani, ilitokea! Kwa, Idi amin hivyo hivyo, apartheid SA, ili kuwa hivyo, Mandela walimfunga kwa, miaka 27! ANC ikapigwa marufuku, walioandamana walikutana na risasi, kumbuka sharpaville massacre! Mwishowe walitoka!
Time will come,
Vita vilianza toka enzi za mkapa hadi leo huoni ya kuwa sisi wenyewe ni kama hatuna utambuzi tunamtaka nani? Huoni ya kuwa kama taifa kuna mpasuko ndani yetuMbuyu ulianza kama mchicha. Kilichotokea leo ni mgomo. Mgomo dhidi ya 77 na unaweza kutumika kama kiboko kwa serikali dharimu. Endelea kujifunza jinsi muda uendavyo utaelewa..... Mapambano bado yanaeรฑdelea..,
Ofcourse wao ndo wanachekelea ila na sisi tutakuwa wajinga kukubali kuwa manipulated kuendelea kujibu mashambulizi yatakayo tuletea maafa sisi pasipo kitu kubadilikaSisiem, ndio wanataka muwe na akili za hivi ,hapo yalipo yanasoma uzi wako huku yakichekea chooni
Hakuna mabadiliko bila kafara , hata kwenye maisha ipo hivyoOfcourse wao ndo wanachekelea ila na sisi tutakuwa wajinga kukubali kuwa manipulated kuendelea kujibu mashambulizi yatakayo tuletea maafa sisi pasipo kitu kubadilika
Tunataka katiba mpya ilionyooka!Vita vilianza toka enzi za mkapa hadi leo huoni ya kuwa sisi wenyewe ni kama hatuna utambuzi tunamtaka nani? Huoni ya kuwa kama taifa kuna mpasuko ndani yetu
Kafara ni imani za kishirikina?Hizi ni Imani za kishirikina,
Haya kafara ya Mo29 yame leta nini? Na matokeo so ndo utekaji na mauaji?
hii ndo Point.Nakwakuwa wenye akili CHADEMA walishaisha ndo maana wanashindwa kufanya hvo.Ni mifumo tu, sasa Unafikiri wanacho kifanya chadema ni sawa? Hapa issue sio kulipia mambo bali kuchukua hatua zisizo na maafa kwa uma
Na hivyo ndio hivyo hivyo!Kafara ni imani za kishirikina?
Mimi nimemaliza unataka ndio hivyo hivyo ,hautaki ndio hivyo hivyo.
Ipo hivyo na tumemaliza Mr mcharoNa hivyo ndio hivyo hivyo!
Ni sawa tu piaNa watu wameshtuka hawa wezi kwenda kwenye vita wanayojua wanaenda kushindwa