Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hizi ni Imani za kishirikina,
Haya kafara ya Mo29 yame leta nini? Na matokeo so ndo utekaji na mauaji?
Anataka apewe ukombozi akiwa kalala kitandaniSo wewe unataka ukombozi bila Kafara? Hii yako itakuwa yakwanza aiseeh!
Tatizo sijui hata nia ya uzi wangu mmeipataSo wewe unataka ukombozi bila Kafara? Hii yako itakuwa yakwanza aiseeh!
Anataka apewe ukombozi akiwa kalala kitandani
Tatizo sijui hata nia ya uzi wangu mmeipata
Nimeongelea how impossible it is kutumia mbinu tuliyo nayo kwa sasa, maana walio madarakani wanapower na watatumia dola waliyo nayo kuumiza wasio na hatia
Sijasema tukae tusubirie miujiza nimesema kwa hili la maandamano ni bora tukubali haliwezekani
Sijasema nina strategy, nimesema hii strategy haiwezi kuleta impact.Ndo wabongo hao, mtu kama hujatoka audacity ya kushauri na kulaumu wengine sijui inatoka wapi! Mtu analalam strategy mbovu, sasa kwanini yeye asipush hizo zake nzuri?
Anataka apewe ukombozi akiwa kalala kitandani
Tatizo sijui hata nia ya uzi wangu mmeipata
Nimeongelea how impossible it is kutumia mbinu tuliyo nayo kwa sasa, maana walio madarakani wanapower na watatumia dola waliyo nayo kuumiza wasio na hatia
Sijasema tukae tusubirie miujiza nimesema kwa hili la maandamano ni bora tukubali haliwezekani
Sijasema nina strategy, nimesema hii strategy haiwezi kuleta impact.
Na kama ninge kuwa nayo ningeiweka wazi maana mimi ni Mzalendo haswa na sipendi nchi ilipo fikia
Badala ya kunisaidia watauongeza mara dufu.Wewe mpuuzi chadema inahusika nini kwenye umaskini wako?
Ni majinga kweli mkuu.🤣🤣🤣🤣 eti majinga majinga duh
Mbona umeongea as if wewe sio mtanzania?Ile MO29 vijana Walifikiri ukombozi ni jambo rahisi la siku moja. Tena bila kuua na kuuana. Uliona wapi unakomboa nchi wenzako wameshika silaha wewe uko mikono mitupu?
Kingine, unakomboa nchi kwenye angle ipi?
Kwa akili na maadili yapi ya raising?
Hawa Raia wabongo wengi wao ni majizi, wanyanyasaji, wanafiki, wabinafsi, hao ndio wakikomboa nchi ili iweje?
Fikiria mtu anayefikiria kumuibia mwanaume nauli ndiye akombolewe nchi.
Fikiria mtu anayemzalisha mwanamke makusudi kama sehemu ya kumkomesha kisha anamtelekeza ndio akombolewe nchi yake.
Fikiria mtu ambaye akipata pesa kidogo anawaza kuoa mke mwingine. Hashindi nyumbani.
Fikiria jitu linachelewe kazini, linanyanyasa wateja, linatapeli wateja.
Lichungaji linadanganya Habari za ufalme wa mungu. Hao ndio uwakombolee taifa. Hapana kwa kweli!
Muda haujafika
Sure thing maendeleo na mabadiliko hayahitaji chama, bali watu na jamii yenye maono memaBinafsi, siwakubali ccm wala chadema, mm n shabiki wa mtu fulani ila sio chama chochote cha siasa.
Nilikuwa shabiki wa JPM ila sikuwa shabiki wa ccm
Mm natamani kuona maendeleo bila kujali ni chama kipi kipo madarakani
Na mtu akizingua kama Samia anavyozingua Sasa hv bc aambiwe tuu.
Kwanini unakimbilia critics na huku hili ni jambo la wananchi?Sasa badala ya kudeal na kilichotufikisha hapo, wewe unalaumu maandamano..kwanini hoja yako isingejikita kwa hao walioifikisha nchi hapo ilipofika? Ni uzalendo kweli kweli au vijana wa lumumba na vioja vyenu kama kawaida?
Wewe unatakiwa kukombolewa kifikra kwanzaNani anataka kukombolewa we boya