Mimi kama mtanzania Mzalendo nawaasa wa Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tukubali tu

Siku mabadiliko yakifanikiwa watu kama nyie lazima mshighulikiwe. Wanaume unakuwa muoga kiasi hiki
 
Mkuu leo kuna game kali la colombia na Switzerland
Usilikose

Ova
 
Mkuu leo kuna game kali la colombia na Switzerland
Usilikose

Ova
Haya ya Argentina nayo ni ya moto vile vile waarabu kwenye kuzuia tu hawajambo
 
Ukombozi wa wana Israel Mwenyewezi Mungu alimwambia Nabii wake Muda kuwa hiko kizazi chenye makandokando mengi hakiwezi kuikomboa nchi ya ahadi na ikawa hivyo .

Siku nimepanda dalala gari kimeandikwa vingine dereva kwa tamaa zake za kijinga anakatisha ruti bila fidia kibabe wanakuambia abiria shukeni hapa mwisho. Siku nyingine ruti hiyo hiyo dereva mwingine alikatiisha ruti akasema hapa mwisho yeye hafiki kituoni baada ya abiria wote kushuka akapoa kidogo kisha akaanza kupakia kuelekea mwisho wa kituo ambapo awali alisema hafiki na kutushusha abiria mwanzo.

Nikasema Tz kila mtu Mwizi na wengi hatujali haki kama CCM tu , halafu unakuta watu kama hawa nao wakionewa na serikali wanadai haki
 
Ila Kuna ambao hawakuwa na nia ovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ