Rayamikhal
Senior Member
- Sep 14, 2026
- 110
- 207
Sasa nikamuuliza mbona unahofu akasema hotel Ile ni kubwa na ya kifahali vipi akifanishwa kazi za ngono wakati anajitolea? WanaJF nimewaletea hili nataka ushauri ili nimpe shoga yangu aone mawazo yetu yatamsaidia kiasi gani.
Mbona ana mawazo ya kimasikini hivyo?
Ni hotel gani kubwa Tanzania inayotumikisha kingono wahudumu wake wa kike?
I know.
naomba nifikishie hili,Rafiki yangu jana alinipigia simu, Akiwa na wasiwasi mkubwa. Ikabidi niulize shida ni nini akasema maisha yamekuwa magumu upande wake ikabidi aombe kazi, akatuma Maombi kadhaa kwenye mahotel makubwa ya kitalii akafanikiwa kuitwa hotel X. Shoga yangu aliishia form 4 hana ujuzi wowote wa hotel zaidi ya stationery. Alifanyiwa usaili siku hiyo Ila bahati mbaya ni kuwa walimwambia sehemu iliyopo ni mafunzo kwa miezi 3 chakula kipo pia sehemu ya kulala ipo lakini hatolipwa kitu mpaka miezi 3 itimie. Sasa nikamuuliza mbona unahofu akasema hotel Ile ni kubwa na ya kifahali vipi akifanishwa kazi za ngono wakati anajitolea? WanaJF nimewaletea hili nataka ushauri ili nimpe shoga yangu aone mawazo yetu yatamsaidia kiasi gani.
Shoga yako...? kwanza kwa mwez atakua analipwa kias gan? Kama hela itakua inaridhisha, Mwambie aanze ila aepuke Vitendo vya ngono, Mana kazi kupata ni ngumu.? Na wafuate taratibu zote za kiselikali Kuepuka Utapeli
Hotel kubwa hazina huo ujinga....Rafiki yangu jana alinipigia simu, Akiwa na wasiwasi mkubwa. Ikabidi niulize shida ni nini akasema maisha yamekuwa magumu upande wake ikabidi aombe kazi, akatuma Maombi kadhaa kwenye mahotel makubwa ya kitalii akafanikiwa kuitwa hotel X. Shoga yangu aliishia form 4 hana ujuzi wowote wa hotel zaidi ya stationery. Alifanyiwa usaili siku hiyo Ila bahati mbaya ni kuwa walimwambia sehemu iliyopo ni mafunzo kwa miezi 3 chakula kipo pia sehemu ya kulala ipo lakini hatolipwa kitu mpaka miezi 3 itimie. Sasa nikamuuliza mbona unahofu akasema hotel Ile ni kubwa na ya kifahali vipi akifanishwa kazi za ngono wakati anajitolea? WanaJF nimewaletea hili nataka ushauri ili nimpe shoga yangu aone mawazo yetu yatamsaidia kiasi gani.
hapo sio anafanya kazi, bali anajifunza. Kwani angeenda chuoni kusomea Hotel angelipwa?Atafanya miezi 3 mwanzo bila kulipwa kitu Wala marupurupu yoyote
Unamshangaa nini mbona hili lilikuwa kabisa ndani ya uwezo wako?hizo ngono atafanyishwa na nani wakati amepelekwa kwa mafunzo ambayo halipii kula wala kulala?Hata mie namshangaa ndio maana nikawaletea na nyie wakuu.
Huyo ni mjinga, mbona ngono ziko kila mahali??Rafiki yangu jana alinipigia simu, Akiwa na wasiwasi mkubwa. Ikabidi niulize shida ni nini akasema maisha yamekuwa magumu upande wake ikabidi aombe kazi, akatuma Maombi kadhaa kwenye mahotel makubwa ya kitalii akafanikiwa kuitwa hotel X. Shoga yangu aliishia form 4 hana ujuzi wowote wa hotel zaidi ya stationery. Alifanyiwa usaili siku hiyo Ila bahati mbaya ni kuwa walimwambia sehemu iliyopo ni mafunzo kwa miezi 3 chakula kipo pia sehemu ya kulala ipo lakini hatolipwa kitu mpaka miezi 3 itimie. Sasa nikamuuliza mbona unahofu akasema hotel Ile ni kubwa na ya kifahali vipi akifanishwa kazi za ngono wakati anajitolea? WanaJF nimewaletea hili nataka ushauri ili nimpe shoga yangu aone mawazo yetu yatamsaidia kiasi gani.
hapo sio anafanya kazi, bali anajifunza. Kwani angeenda chuoni kusomea Hotel angelipwa?
Baada ya kuwa na ujuzi kiasi (ndani ya miezi tatu), ndio aanze kulipwa
Hotel kubwa hata kutandika kitanda na kuandaa chumba anaweza kujifunza zaidi ya wiki...
Unamshangaa nini mbona hili lilikuwa kabisa ndani ya uwezo wako?hizo ngono atafanyishwa na nani wakati amepelekwa kwa mafunzo ambayo halipii kula wala kulala?
Huyo kama kulombwa atalombwa kwa kutaka au tamaa zake siyo kwa kulazimishwa so as for me sijauona bado ugumu wa yeye kwenda field.