Mimi kama mwanamke nitajuaje kwamba kazi ya hotel haitaniitaji nivue nguo zangu?

Leo asubuhi hapa Kuna mdada nyumbament,kaniuliza mbona tunakaa nyumba Moja na hujawahi niomba namba?vipi ukipata tatizo ghafla? utasaidikaje?nikaishia kujichekesha tu asee,mpaka sasa bado sijaelewa swali lake,ila wanawake 🤣🤣🤣
 
Hehehehe, labda uko attractive
 
Rafiki yangu jana alinipigia simu, Akiwa na wasiwasi mkubwa. Ikabidi niulize shida ni nini akasema maisha yamekuwa magumu upande wake ikabidi aombe kazi, akatuma Maombi kadhaa kwenye mahotel makubwa ya kitalii akafanikiwa kuitwa hotel X. Shoga yangu aliishia form 4 hana ujuzi wowote wa hotel zaidi ya stationery. Alifanyiwa usaili siku hiyo Ila bahati mbaya ni kuwa walimwambia sehemu iliyopo ni mafunzo kwa miezi 3 chakula kipo pia sehemu ya kulala ipo lakini hatolipwa kitu mpaka miezi 3 itimie. Sasa nikamuuliza mbona unahofu akasema hotel Ile ni kubwa na ya kifahali vipi akifanishwa kazi za ngono wakati anajitolea? WanaJF nimewaletea hili nataka ushauri ili nimpe shoga yangu aone mawazo yetu yatamsaidia kiasi gani.
Mtihani si mnaanza mwezi huu!
 
Kwaiyo ushauri wako wa jumla ni upi mkuu
Mwambie aende kwenye hayo mafunzo, sio kama atakuwa halipwi completely, atapewa posho na si mshahara. Aache mawazo ya kitoto hayo, naada ya mafunzo akionekana amekizi atasainishwa mkataba na ataanza kulipwa rasmi.
 
Ndo utaratibu wa karibu kila hotel kubwa kama huna ujuzi basi utafundishwa kwa muda wa miezi mitatu wakiona juhudi zako unapewa ajira na mkataba moja kwa moja ila sio swala la kutumikishwa kingono ni tamaa zako tu
 
Rafiki yangu jana alinipigia simu, Akiwa na wasiwasi mkubwa. Ikabidi niulize shida ni nini akasema maisha yamekuwa magumu upande wake ikabidi aombe kazi, akatuma Maombi kadhaa kwenye mahotel makubwa ya kitalii akafanikiwa kuitwa hotel X. Shoga yangu aliishia form 4 hana ujuzi wowote wa hotel zaidi ya stationery. Alifanyiwa usaili siku hiyo Ila bahati mbaya ni kuwa walimwambia sehemu iliyopo ni mafunzo kwa miezi 3 chakula kipo pia sehemu ya kulala ipo lakini hatolipwa kitu mpaka miezi 3 itimie. Sasa nikamuuliza mbona unahofu akasema hotel Ile ni kubwa na ya kifahali vipi akifanishwa kazi za ngono wakati anajitolea? WanaJF nimewaletea hili nataka ushauri ili nimpe shoga yangu aone mawazo yetu yatamsaidia kiasi gani.
Kashachapwa Mpaka Kuomba Ushauri😁
 
Kwa Hotel kubwa si rahisi, mbona hapa Zanzibar wapo kibaoo mabinti na hayo masuala hayapo, ujue nao wanaogopa kuchafuliwa majina na Hotel brabd kama ukaenda kushtaki katika Serikali
 
Nikikumbuka ya yule binti wa kijaluo pale Nairobi hotel kenya,
Nasema ukweli wngu kwamba kazi za hotel especially room service ni zaidi ya vishawishi kwa mwanamke..
Kuvuliwa nguo ni 99%
 
Huo mfumo ni wakawaida kabisa asiwe na shaka, unajitolea miez mitatu ikiwa Hauna cheti cha ujuzi wa KAZI yoyote ya hotel, hiyo miezi mitatu wanaita training, baada ya hapo unapewa cheti than utaangalia kama Kuna nafasi uttapewa au uttapewa kwingine ila navojua Huwa wanalipwa elf 50 kwa mwezi, sijajua utaratibu wa hiyo hotel
 
Kama ana waza kufanyiwa vibaya basi ajue hotel zote siku hizi au nyingi zina camera
Mchezo huo ni marufuku kama ni mfanyakazi katika Hotel kubwa na unaweza kufukuzwa
Ila kama hatalipwa miezi mitatu lazima awe na source of income ili aweze kuvuka hapo
 
Rafiki yangu jana alinipigia simu, Akiwa na wasiwasi mkubwa. Ikabidi niulize shida ni nini akasema maisha yamekuwa magumu upande wake ikabidi aombe kazi, akatuma Maombi kadhaa kwenye mahotel makubwa ya kitalii akafanikiwa kuitwa hotel X. Shoga yangu aliishia form 4 hana ujuzi wowote wa hotel zaidi ya stationery. Alifanyiwa usaili siku hiyo Ila bahati mbaya ni kuwa walimwambia sehemu iliyopo ni mafunzo kwa miezi 3 chakula kipo pia sehemu ya kulala ipo lakini hatolipwa kitu mpaka miezi 3 itimie. Sasa nikamuuliza mbona unahofu akasema hotel Ile ni kubwa na ya kifahali vipi akifanishwa kazi za ngono wakati anajitolea? WanaJF nimewaletea hili nataka ushauri ili nimpe shoga yangu aone mawazo yetu yatamsaidia kiasi gani.
Wewe ulishasikia kuna hotel kubwa zinafanyisha watu ngono? Mbona anaonekana kama kahaba fulani hivi?
 
Back
Top Bottom