MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 1,454
- 3,978
Huku ofisini kwetu hakuna mambo ya ngono mkuu naomba ofisi yetu uitoe kwenye uasherati🥹🥹Huyo ni mjinga, mbona ngono ziko kila mahali??
Huku ofisini kwetu hakuna mambo ya ngono mkuu naomba ofisi yetu uitoe kwenye uasherati🥹🥹Huyo ni mjinga, mbona ngono ziko kila mahali??
Mna deal na nini??Huku ofisini kwetu hakuna mambo ya ngono mkuu naomba ofisi yetu uitoe kwenye uasherati🥹🥹
Umwambie sasa asiwe na tamaa la sivyo uvunguni kutachakazwa ile mbaya.Shukrani mkuu
Tuna deal na mafuta/maji ya upako ya mwamposa mkuuMna deal na nini??
😹😹ila akigawa bure anaona sawa ila anahofia kugawa apate kazi .!!!
Weye wasemaje????
Anauliza yeye kama mwanamke...Weye wasemaje????
Kama ni real you ya eatable!Hata mie namshangaa ndio maana nikawaletea na nyie wakuu.
Akifuzu mafunzo mshahara Bei gani
Isije kutumia miezi mitatu Kisha wamwambie thank you.
Vishawishi vya ngono vipo kila mahali atake mwenyewe tu kulombwa ila hawezi kulazimishwaMimi pia sifahamu atalipwa shingapi,, ninachojua ni kuwa wamemwambia akifanya vizuri watamuajili akifanya vibaya itakuwa hivyo hehe no thank you 😂
Vishawishi vya ngono vipo kila mahali atake mwenyewe tu kulombwa ila hawezi kulazimishwa
Kuna mke wa jamaa yangu alikua anafanya kazi huko Zanzibar hotelini katika story alitumbia hua kwa wiki hakosi laki tatu nje ya mshahara tukajiongeza tu kua pengine anawauzia hao watalii utelezi
Kwanini ujiongeze wakati kilahotel ya kitalii inatip box. Ambayo wanagawana pesa za humo kila wiki wengine kila baada ya siku tatu wengine kila mwezi na haiwekwi Wala kujumuishwa kwenye mshahara
Kama tu mme hamuamini mkewe basi hapo ndoa hakuna
OyaweeeLabda iwe ya mumeo otherwise utaishia kuliwa kimasihara
Inawezekana ni tips kweli ila muktadha wa mazungumzo ndio ulifanya tukajiongeza hivyoKwanini ujiongeze wakati kilahotel ya kitalii inatip box. Ambayo wanagawana pesa za humo kila wiki wengine kila baada ya siku tatu wengine kila mwezi na haiwekwi Wala kujumuishwa kwenye mshahara
Inawezekana ni tips kweli ila muktadha wa mazungumzo ndio ulifanya tukajiongeza hivyo