Mimi kama shabiki wa Yanga naomba msamaha Simba kwa kuwaita Mwaka-robo

Sasa mbona wewe

Sasa mbona wewe ni Kolo kabisa nani kakwambia kupoteza game mbili ndio imeisha.

Hawa makolo unaowaona walishawai kupigwa mechi mbili tena kwa vipigo vizito na bado wakafanikiwa kutinga robo final
Walikula hamsa mbele ya AC vita then wakaenda kwa mwarabu wakala tena hamsa

Hata juzi kati walipigwa na Horoya kidude, then wakaja kwa mkapa wakachapwa vitatu napo walipita,
Ukiona mwana yanga anakata tama kwa hizi game mbili jua huyo football haujui.
Simba si Yanga na Yanga si Simba
 
Lakini mbona yanga kafanya vizuri kuliko simba.
Simba alicheza robo finali dhidi ya mazembe. Next season akatolewa round ya awali kabisa dhidi ya ud songo.

Sasa yanga last season kafika robo, this season kaingia makundi tena. Thats a massave achievement.
 
Wakati unafananisha hivyo, usisahau kufananisha na aina ya kikosi Simba walichokuwanao na hiki cha Yanga kinachomtegemea Chama huyu aliyekuwa bora enzi hizo alete mabadiliko kwenye hiki kikosi. Je Yanga wana mchezaji kama Kagere, Okwi, Chama, Niyonzima na Bocco walio kwenye ubora mkubwa? Kwa Yanga hii inayocheza dakika 94 bila shot on goal hata moja?
 
Hujui mpira wewe hao unao waona bora walipigwa mechi mbili mfululizo wakianzia dar wakakandwa tatu kwa moja na raja na bado mechi ya pili wakafumuliwa tena lakini walipita kwenda robo fainali mashindano haya haya tulia uone mpira ni nin sio kukurupuka tu..
Yes walipigwa mechi mfululizo na wakapita kwa mgongo wa timu dhaifu ya Vipers, unadhani kwenye kundi la Yanga kuna timu ya kariba ya Vipers? Timu dhaifu ya El Hilal ndio hiyo tayari imeshawafunga Yanga tena nyumbani
 
Wakati unafananisha hivyo, usisahau kufananisha na aina ya kikosi Simba walichokuwanao na hiki cha Yanga kinachomtegemea Chama huyu aliyekuwa bora enzi hizo alete mabadiliko kwenye hiki kikosi. Je Yanga wana mchezaji kama Kagere, Okwi, Chama, Niyonzima na Bocco walio kwenye ubora mkubwa? Kwa Yanga hii inayocheza dakika 94 bila shot on goal hata moja?
Wewe hujui mpira bora ungekaa kimya kuficha ujinga ulio nao kichwani, tusibishane sana ngoja tuuachie muda utaongea
 
Sasa mbona wewe

Sasa mbona wewe ni Kolo kabisa nani kakwambia kupoteza game mbili ndio imeisha.

Hawa makolo unaowaona walishawai kupigwa mechi mbili tena kwa vipigo vizito na bado wakafanikiwa kutinga robo final
Walikula hamsa mbele ya AC vita then wakaenda kwa mwarabu wakala tena hamsa

Hata juzi kati walipigwa na Horoya kidude, then wakaja kwa mkapa wakachapwa vitatu napo walipita,
Ukiona mwana yanga anakata tama kwa hizi game mbili jua huyo football haujui.
Haya piteni makundi
 
Lakini mbona yanga kafanya vizuri kuliko simba.
Simba alicheza robo finali dhidi ya mazembe. Next season akatolewa round ya awali kabisa dhidi ya ud songo.

Sasa yanga last season kafika robo, this season kaingia makundi tena. Thats a massave achievement.
Wapi uko?
 
Sasa mbona wewe

Sasa mbona wewe ni Kolo kabisa nani kakwambia kupoteza game mbili ndio imeisha.

Hawa makolo unaowaona walishawai kupigwa mechi mbili tena kwa vipigo vizito na bado wakafanikiwa kutinga robo final
Walikula hamsa mbele ya AC vita then wakaenda kwa mwarabu wakala tena hamsa

Hata juzi kati walipigwa na Horoya kidude, then wakaja kwa mkapa wakachapwa vitatu napo walipita,
Ukiona mwana yanga anakata tama kwa hizi game mbili jua huyo football haujui.
Ngoja mwende Congo kwa Mazembe ndio mtajua hamjui
 
Back
Top Bottom