United republic of tanzania.Wapi uko?
Yanga ali over achieve last season. Tukumbuke initialy it was to qualify for groups stage wakaingia makundi zaidi ya hapo ilikuwa bonus.
So kurudi tena makundi wameshafanya vizuri. Tatizo letu ni kutokuwa na project na kwenda na mihemko. Ilikufika semi final champions league jipe misimu mi5.