Mimi kama shabiki wa Yanga naomba msamaha Simba kwa kuwaita Mwaka-robo

Simba si Yanga na Yanga si Simba
 
Lakini mbona yanga kafanya vizuri kuliko simba.
Simba alicheza robo finali dhidi ya mazembe. Next season akatolewa round ya awali kabisa dhidi ya ud songo.

Sasa yanga last season kafika robo, this season kaingia makundi tena. Thats a massave achievement.
 
Wakati unafananisha hivyo, usisahau kufananisha na aina ya kikosi Simba walichokuwanao na hiki cha Yanga kinachomtegemea Chama huyu aliyekuwa bora enzi hizo alete mabadiliko kwenye hiki kikosi. Je Yanga wana mchezaji kama Kagere, Okwi, Chama, Niyonzima na Bocco walio kwenye ubora mkubwa? Kwa Yanga hii inayocheza dakika 94 bila shot on goal hata moja?
 
Yes walipigwa mechi mfululizo na wakapita kwa mgongo wa timu dhaifu ya Vipers, unadhani kwenye kundi la Yanga kuna timu ya kariba ya Vipers? Timu dhaifu ya El Hilal ndio hiyo tayari imeshawafunga Yanga tena nyumbani
 
Wewe hujui mpira bora ungekaa kimya kuficha ujinga ulio nao kichwani, tusibishane sana ngoja tuuachie muda utaongea
 
Haya piteni makundi
 
Wapi uko?
 
Ngoja mwende Congo kwa Mazembe ndio mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…