Mimi kama shabiki wa Yanga naomba msamaha Simba kwa kuwaita Mwaka-robo

Wapi uko?
United republic of tanzania.
Yanga ali over achieve last season. Tukumbuke initialy it was to qualify for groups stage wakaingia makundi zaidi ya hapo ilikuwa bonus.

So kurudi tena makundi wameshafanya vizuri. Tatizo letu ni kutokuwa na project na kwenda na mihemko. Ilikufika semi final champions league jipe misimu mi5.
 
Sijaona kwa nini unakata tamaa kufungwa matches mbili tu na bado tuna matches nyingi tu mkononi. Yanga atafanya vizuri .tunza haya maneno.
 
Yanga ilifika Fainali Shirikisho msimu unaofuta ikaishia robo Fainali Klabu Bingwa.Tusubiri msimu huu bado mechi zinaendelea.
 
 
Ukiwaona yanga na man City kimbia.
 
Sio lazima yanga iifunge timu kwenye kundi lao. Anaweza kufunga hata kamba. Kikubwa ni kufunga tu
 
Huyo ni Simba, usijifananishe nae! Simba kimataifa ana mbinu na mikakati...Yanga bado mchanga sana kimataifa
 
We kolo tokea lini ukawa yanga wewe? Yanga kacheza fainali ya ilo kombe mnaloshiriki kama ni rahisi fikeni fainali tuone,,yanga anacheza kombe la mabingwa watupu sio kombe la kushirikishwa babuu kuwa na heshima!
 
Endeleeni kumsifu injinia na chawa wake Ali kamwe mnajazwa ujinga nanyi mnakubali,huwa nawaambia wananchi wezangu injinia akiacha tu kibuli chake na kuwakumbatia wanaomdanganya akina kamwe na kuwafuata wale waliomsaidia wakati anaingia madarakani hadi yanga ikang'aa kimataifa hata hizi gemu zilizobaki yanga itatoboa na kufika mbali.
 
Kunawakati msifu mwenzako anayefanys vizuri hata kama moto unakataa,endeleeni kuaminishwa na akina kamwe kuwa yanga itatoboa.kamwe ameshindwakuitetea yanga dhidi ya kampeni chafu za kufungwa sindano wachezaji wetu manara asinge kubali angeunguluma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…