MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hiyo hali hata mimi naona kama ninayo. Kwa mfano mademu wote waliowahi kunikataa kwa dharau ni aidha hawajaolewa kabisa au wameolewa wakaachika. Kuna manzi aliniambia hata akivuta hisia kwa mbali za kunipenda haziji.... leo hii anagonga 38yrs bila mume wala mtoto na ni mfuasi wa hawa manabii feki.