MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
AISEE.Ancestors
Hapa umeeleza nilichokuwa nafikiria pia. Sina ufahamu kama inawezekana kuna nguvu ya ziada nyuma ya hayoKifo ni kitu cha kawaida kwa binadamu wala hata wewe utakufa, sasa wewe ukifa unakua umemfanyia nani mabaya kama kifo ni adhabu ya kufanyia mtu mabaya?
Wewe mshukuru Mungu na Yeye wamini kwamba atakupigania. Mimi ni shuhuda zaidi ya tano ambazo Mungu amenipigania hata kama siendi Kanisani.nifundishe na mm asee nimechoka kutapeliwa
Hatari.Hiyo hali hata mimi naona kama ninayo. Kwa mfano mademu wote waliowahi kunikataa kwa dharau ni aidha hawajaolewa kabisa au wameolewa wakaachika. Kuna manzi aliniambia hata akivuta hisia kwa mbali za kunipenda haziji.... leo hii anagonga 38yrs bila mume wala mtoto na ni mfuasi wa hawa manabii feki.
Mkuu una hoja lakini mleta mada naye ana hoja. Kwa mfano mimi binafsi kuna watu waliniingiza kwenye matatizo yaliyoniyumbisha sana ila kwa sasa mkuu wa kile kikosi ni mfu. Kuna mwanamama aliyekuwa kimbelembele tayari kapooza mwili upande mmoja. Waliobakia karibu wote wamefukuzwa kazi na baadhi wana kesi.Kifo ni kitu cha kawaida kwa binadamu wala hata wewe utakufa, sasa wewe ukifa unakua umemfanyia nani mabaya kama kifo ni adhabu ya kufanyia mtu mabaya?
Kuna wanaume wengine ukitoa mimba zao kuna asilimia kubwa ya kupoteza maisha.mimi nikimkula mwenye mimba lazima itoke
nsha achaga kukula wenye mimba
Hii kitu ipo Kwa wengi na kama unaabudu mizimu mtu akishazingua hutakiwi kabisa kugomban nae , badae ndo ivyo linampata la kumpataWakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Muda wako haujafika lazima ukumbwe kama kweli ulimkosea😆kaa chonjoKuna mtu yupo kama hivyo na mwenyewe hutumia kama silaha hujisifu kabisa, kuna kipindi huyo mtu ilitokea nilikuwa namuudhi sana akawa ananitishia kwa hiyo hali yake ila hakuna kilichonipata.
Hili lipo tu kwa wenzako wa kawaida, je chama tawala na viongozi wake? Maana hawa wanadhulumu kila Mtanzania.Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Wewe ni mkuu wa BezabuliWakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Wewe ni KITI cha mizimuWakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Hiyo Hali hutokea tu sasa mtu akijisifu inaondoa nguvuKuna mtu yupo kama hivyo na mwenyewe hutumia kama silaha hujisifu kabisa, kuna kipindi huyo mtu ilitokea nilikuwa namuudhi sana akawa ananitishia kwa hiyo hali yake ila hakuna kilichonipata.