Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,504
Reaction score
20,293
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
 
Vita ya kwanza ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya pili ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya urusi na Ukraine upo upande Gani?

Maana unahoj ni kama vile waislamu hawaruhusiwi kupigana wao kwa wao lakini nyinyi makafiri mna haki hiyo
 
Mimi ni Muislam
 
muslims wanaamini siku za mwisho mahdi atakuja kuwaunganisha wote wawili suni na shia na ku-establish islam caliphate (dola ya islam) dunia nzima and here where is gets crazier wanaamini kwamba isa ambaye kwa muslims ni jina la Yesu atakuja na mahdi siku za mwisho na kuungana kuwasilimisha "people of the book" i.e Christians aidha kwa hiari au kill all Christians ambao hawatakubali kuwa muslims, huku tanzagiza imeshaanza rejea kazi ya thomas mwaipopo aka shehe mwaipopo kazi yake kuu ni kusilimisha Christians alianza yeye kusilimishwa na sasa anasilimisha, jiulize kwa nini wanajenga msikini mkubwa (using tax payers money ambao majority of taxpayers in tanzagiza are Christians hivyo wantumia Christian money kujenga msikiti btw in islamic caliphate sharia muslims hawalipi kodi bali ni people of the book tu ndiyo hutozwa kodi na islamic caliphate ambao Christians ) arusha? btw ulishaangaalia bendera ya islamic revolutionary guard corps (irgc) of iran? ina rangi nyeusi exactly ndivyo jeshi la mahdi litakavyokuwa.

mkiambiwa muslims are crazy msifikiri it just comes out of thin air, hayo niliyoaandika hakuna hata moja ambalo siyo kweli.

bendera ya irani ikishushwa na ya irgc mahdi ikipandishwa iran ...

1791705738127.png
 
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Hiyo ni kobaz derby mwenye kanzu haya!! Mwenye kandambili haya!! Mwenye kijora haya!! Mwenye sendo haya!! Unakabidhiwa tu mtutu ukapambane.

Chukua kahawa ukae zako pembeni ushuhudie mtifuano wa kugombea bikra 72.
 
Uislam ni dini ya kuuana, huoni huko Iran Ayatollah anavyowaua Wairan akiwaaminisha watu kuwa ni maagizo ya ALLAH!! Ulikwishajiuliza huyo ALLAH mi nani? Kwa vyovyote siyo yule Mungu wa Ibrahim, Musa, aliyefunuliwa kwa wanadamu wote na Kristo Yesu.
 
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Uislamu si ujinga.
Ukiwaza kama unavyowaza, basi huna akili za kukusaidia kimaisha.
Siku zote Mungu anasema kaa upande unaoonewa.
 
Back
Top Bottom