Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

Ila Kuna muda mnachekesha sana.

Nyinyi si mnasema Adam, na mitume yote ya zaman ni waislam.
Sasa Washia inakuwaje sio waislam?.

Wanamuabudu Allah , wanamuamin Mtume Mohamed, wanatumia Quran hiyo hiyo. Sema wao wanaamin pia na kiongoz mwingne ambaye wassuni hamumuamini
Hapo ndio ujue Kuna tofauti Kati ya kuwa muislamu Kwa kufuata misingi ya Uislamu, na kudai wewe ni muislamu Kwa kuwa umevaa kanzu na kilemba.
 
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Swali la kipumbafu kabisa ..ukikuta jambazi la CCM lina mchinja SAMIA wewe utamuunga mkono yupi ‽ hapo hakuna wa kumuunga mkono ni kuua wote hao.
 
Mara ya mwisho umeswali lini?
 
Ni muhimu sana kuziombea Amani pande zote zinazohasimiana.

Allah awajaalie ustahimilivu, subra na awafanyie wepesi katika kupata suluhu ya kudumu ya amani katika eneo hilo 🐒
 
Ww kama muislam uchague upande gani kwani aliye kwambia wanapigana Kwa ajili ya dini ni nani?
Hao wanacho pigania ni madaraka ,Mali na masilahi na hawapogani Kwa masilahi ya kidini.
Kwa hiyo suala la uchague upande upi lipo katika itikadi za kisiasa na sio kidini.
 
Dunia inapiga sarakasi, leo Saudia pamoja na Sharia Law ni kibaraka wa makafiri :ALIENALIENALIENALIENALIEN:
 
Kwa muislam nadhani itakua sahihi zaidi kua upande wa Houthi. Saudi wanaonekana kua kimaslai zaidi. Miji ya Mecca na Madina ilitakiwa kua Iran
 
Back
Top Bottom