Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani
📌Dogo pambania tumbo lako.Achana na hizo dini za kuletewa.Wacha wauane wewe angalia tu kama unavyoangalia mieleka au movie.Let them fools kill each other!!!

Dini ni tamaduni za watu muafrika alidandia tu mtumbwi wa vibwengo.
 
Vita ya kwanza ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya pili ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya urusi na Ukraine upo upande Gani?

Maana unahoj ni kama vile waislamu hawaruhusiwi kupigana wao kwa wao lakini nyinyi makafiri mna haki hiyo
Duhh
 
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Mimi sina upande mkuu
 
Umekuwa muislamu ghafla na kumkana Yesu .Tuache hayo ,ila hakuna muislamu ambaye nchini mwake kuna kambi ya USA ,au unaruhusu Waislamu wenzio washambuliwe kutoka kwenye ardhi yako.
 
Wewe una ushahidi gani kuwa Mimi ni mkristu, nionyeshe post hata moja
 
Ndio watetezi wakuu wa Uislam halisi waliobaki, wanapambana na mabeberu , watetezi wa Palestina
kwanini wapambane kama sio dini ya kishetan. hawawez kuhubiri? au kwanini wautetee uislam kwani hauna hoja ya kujitetea?
 
Back
Top Bottom