Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
- Thread starter
- #61
Mimi Muislam...ama kitu gani kinakufanya unione sio Mwislam kama sio makasiriko?Kuitwa jina lako ndio makasiriko!
Mimi Muislam...ama kitu gani kinakufanya unione sio Mwislam kama sio makasiriko?Kuitwa jina lako ndio makasiriko!
Msikitini ?Leo mkuu
NdiyoMsikitini ?
Nimeshakuelewa kuwa wewe ni muislam kafir yaisheMimi Muislam...ama kitu gani kinakufanya unione sio Mwislam kama sio makasiriko?
Unatenda matendo mema?Ndiyo
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa
Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam
Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel
Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel
Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Nakufahamu ,wewe nj mgalatia so usipotohes basi kwa Yesu🤣🤣Yesu ni nabii kwetu pia mkuu
Hayawezi kuisha..Mimi Muislam pure uniite kafir?Nimeshakuelewa kuwa wewe ni muislam kafir yaishe
Share ushahidi mzee...pitia profile yangu utafute ushahidiNakufahamu ,wewe nj mgalatia so usipotohes basi kwa Yesu🤣🤣
Sawa muislam pure mla nguruweHayawezi kuisha..Mimi Muislam pure uniite kafir?
Hii sentensi "kuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam" huwa inamaanisha nini?Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa
Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam
Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel
Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel
Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Unasupport kwa maneno nenda kwenye uwanja wenyewe wa vitaKwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa
Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam
Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel
Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel
Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Hata hivyo Kuna Waislam wengi wanakula nguruwe, hiyo pekee haiwaondolei Uislam waoSawa muislam pure mla nguruwe
Si yameishaa!!
Wanapigania pia haki za PalestineMahuthi hawaupambanii uislamu wanapambania ushia wala hawaitukuzi miji ya Maka wala Madina, muislam wa kweli hawezi shambulia hiyo miji + misikiti yake. Saudia kuwa upande mmoja na marekani ni kuchagua tu lesser evil. Ni ukwel usiopingika kwamba Marekani ina nguvu, ukipata namna ya kuepusha shari zake (ambayo kwa sahv ni kufanya naye madili ya mafuta na silaha) inakuwa ni bora kuliko kupigana vita visivyo vya lazima.
Unaziba profile? unajidanganya tu.Share ushahidi mzee...pitia profile yangu utafute ushahidi
Hapana labda iwe JF wameweka huo utaratibuUnaziba profile? unajidanganya tu.
HaahaHapana labda iwe JF wameweka huo utaratibu