Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Fata QURAN na Sunna ndio msingi wa muislam
 
Nipo huku kwa miaka mingi , tena na Ids nyingi , wewe sio muislamu tena unapenda kuupiga vita uislamu . Nakuomba uishie hapa hap na wapo wenzio kama sita hivi wana tabia hiyo kama umetumwa na kanisa basi umefel .

Sasa hapo nimekashifu Uislam? Nitafutue post niliyoukashifu Uislam kwenye huo Uzi.

Huyo jamaa ni mchochezi, anachochea ugomvi kati ya Waislam na wasio Waislam, nchini yake ya Malaysia ni nchi ya Kiislam inayyongozwa kwa Sharia lakini imempiga marufuku sababu ya mahubiri ya kichochezi, Bangladesh ni nchi ya Waislam lakini pia imempiga marufuku, pia Kuna nchi nyingine zimempiga marufuku japo sio za Kiislam

huyo ndio mtu ambaye natakiwa kumsapoti aje Tanzania? Au kuwa Muislam ni kuunga mkono kila kitu wanachosema wahadhiri hata kama vina utata
 
Nakumbuka hata mwezi haujaisha , tulikuwa tunabisha so jaribu kutafuta...
 
Vita ya kwanza ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya pili ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya urusi na Ukraine upo upande Gani?

Maana unahoj ni kama vile waislamu hawaruhusiwi kupigana wao kwa wao lakini nyinyi makafiri mna haki hiyo
We Jon madhambi endelea kupeleka moto huku sio eneo lako.
 
Vita ya kwanza ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya pili ya Dunia ulikua upande Gani?

Vita ya urusi na Ukraine upo upande Gani?

Maana unahoj ni kama vile waislamu hawaruhusiwi kupigana wao kwa wao lakini nyinyi makafiri mna haki hiyoil
Ila dini bwana, unaita wenzako makafiri wakati wewe ni mpenda video za pono.
 
Kwani bibietu FaizaFoxy kapotelewa wapi aje kutupa dahwa kidogo
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
 
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Tunawaunga mkono wa saudia ambao ni damu na ndugu yetu aliyeanzisha na kwa sababu wanatulindia jiwe letu tunaloendaga kulizunguka na Ile sehemu anapokaaga shetwani Rahim tunayemuuaga kwa Kumpiga mawe Kila mwaka lakini yupo tuu
 
Back
Top Bottom