Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

Uislam ni dini ya kuuana, huoni huko Iran Ayatollah anavyowaua Wairan akiwaaminisha watu kuwa ni maagizo ya ALLAH!! Ulikwishajiuliza huyo ALLAH mi nani? Kwa vyovyote siyo yule Mungu wa Ibrahim, Musa, aliyefunuliwa kwa wanadamu wote na Kristo Yesu.

Nyinyi mna akili ??? hata wale walioko mirembe wana akili kuliko nyinyi .

Hawa wanafunzi wa Yesu walikuwa vipofu ?? na viziwi ??

Huyo yesu anasema . John 1:18 . No one has seen God.................

John 5:37 Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona
 
Kwa mafundisho ya dini yetu ya Uislamu, pindi makundi mawili ya waislamu yanapopigana, wengine hawatakiwi kuchagua upande bali wawasuluhishe.
Ila waisilamu na makundi mengine mnachochea moto au sio.
 
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Nendeni na Houthis🔥💪🏾😀
 
Hivi kwa ugomvi wa roman catholic na pentecoste wewe msabato utakuwa upande gani wakati mashahidi wa yehova wanajiandaa
Dah! Mbona tofauti sana hao wanauwana na hao wengine siyo hivyo hata kidogo mkuu.
 
Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa

Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam

Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel

Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel

Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Ombea upande wenye kabaab!
 
Wanamalizana wao kwa wao bila kutumia nguvu! Hiyo ni Furaha kwa Israel na US.
 
Ukisoma hizi comment unagundua hii nchi haina muda mrefu itazuka vita ya udini na damu zitamwagika sana.

#Wote mliokua na fikra za udini na kucomment hisia hasi kwa dini za wenzenu VINYEO VYENU
 
Back
Top Bottom