Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Ndio watetezi wakuu wa Uislam halisi waliobaki, wanapambana na mabeberu , watetezi wa PalestinaWashia sio waislam
Washia sio waislam
Vita ya kwanza ya Dunia ulikua upande Gani?
Vita ya pili ya Dunia ulikua upande Gani?
Vita ya urusi na Ukraine upo upande Gani?
Maana unahoj ni kama vile waislamu hawaruhusiwi kupigana wao kwa wao lakini nyinyi makafiri mna haki hiyo
Asante studio.Maana unahoj ni kama vile waislamu hawaruhusiwi kupigana wao kwa wao lakini nyinyi makafiri mna haki hiyo
Wew muislamu... twambie nani muislamu halis na yupi siyo...???Washia sio waislam
Mimi ni MuislamVita ya kwanza ya Dunia ulikua upande Gani?
Vita ya pili ya Dunia ulikua upande Gani?
Vita ya urusi na Ukraine upo upande Gani?
Maana unahoj ni kama vile waislamu hawaruhusiwi kupigana wao kwa wao lakini nyinyi makafiri mna haki hiyo
Hiyo ni kobaz derby mwenye kanzu haya!! Mwenye kandambili haya!! Mwenye kijora haya!! Mwenye sendo haya!! Unakabidhiwa tu mtutu ukapambane.Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa
Houthis ni Washia na wanaungwa mkono na Iran ambayo ni nchi ya Washia, japo kuna baadhi ya Waislam wanasema Washia sio Waislam
Lakini pia Hawa Houthis na Iran wamekuwa mstari wa mbele kuupambanania Uislam, kupambana na Mataifa ya Magharibi na Israel
Saudi Arabia ndio nchi yenye miji mtakatifu ya Mecca na Medina lakini hii maslahi yake yanaendana sana na Maslahi ya nchi za Magharibi na Israel
Waislam tunatakiwa tuwaombee upande gani?
Huyo ni mshoga.Ww ni mshia au msunni?.
Pengne haujamuelewa mtoa mada.
Uislamu si ujinga.Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa