Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

Usinisahau kiongozi wa maombezi(private) kwa jinsia ya KE pekee yao.

Mimi ndio nitahakikisha maombezi kwa jinsia hiyo yanaenda sawia

Natumai ombi litakubaliwa.
Hii imeenda
 
Hapa kitengo sikosi bordgard wa mtumishi kwa ajili ya usalama wake kuwapa mafunzo walinzi wa kanisa
 
uliowataja wote ni masikini wa kutupwa....
 
Huna tofauti na Tupac kiweka album cover akiwa Msalabani Kama Yesu
Mocking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…