Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

Hapa kitengo sikosi bordgard wa mtumishi kwa ajili ya usalama wake kuwapa mafunzo walinzi wa kanisa
 
Bwana Yesu asifiwe watu Mungu.


Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine.

Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu mambo yameenda vizuri.Kanisa letu litakuwa maeneo ya Gongo la mboto kwasababu tulifanya utafiti tukagundua kwa upande ule hakuna kanisa kubwa na la kwetu ndilo litakuwa la kwanza.

Mama mchungaji Joannah alipendekeza ya kwamba ni vema tukaajiri pia wadau humu ndani ili tushirikiane kupiga pesa na kuwaibia watanzania.

Mapendekezo yake ni kama ifuatavyo:-

Kiongozi mkuu wa Kanisa na Nabii TUKANA UONE

Katibu wa kanisa

1. Bujibuji Simba Nyamaume

Wazee wa Kanisa

1. Mpwayungu Village
2. Pascal Mayalla

Mashemasi

1. Robert Heriel Mtibeli
2. Missy Gf
3. DR HAYA LAND
4. Raymanu KE
5. Da'Vinci

Watu wa Mapambo kila siku ya Ibada

1. amadala
2. KENGE 01
3. scolastika
4. Smart AJ

Msimamizi wa Muziki

1. mshamba_hachekwi

Mkuu wa Kitengo cha maombezi

dronedrake

Mkuu wa kuleta watu wa miujiza(Huyu kazi yake itakuwa kuwapa mafunzo namna ya kuigiza wameponywa na Nabii mkuu)

keisangora

Mkuu wa kitengo cha Mapishi kwa Viongozi

FaizaFoxy

Mkuu wa Logistics

Evelyn Salt

Mkuu wa wakusanyaji wa takataka ndani na nje ya kanisa

Chizi Maarifa


Mtu maalumu atakayepewa kazi maalumu

Mshana Jr


Mkuu wa kuhakikisha Vyoo na Mabafu yana maji muda wote

GENTAMYCINE


Mimi kama nabii mkuu na Mtume nitahakikisha kabla hatujaanza kuvuna sadaka za waumini nitakuwa natoa fedha yangu mfukoni na kuwawezesha nyooote,hivyo suala la malipo ondoeni shaka.

Nadhani tutakutana wikiendi hii twende kutembelea eneo la mradi husika.

Ndimi kiongozi wenu mkuu tukanauone@gmail.com
uliowataja wote ni masikini wa kutupwa....
 
Huna tofauti na Tupac kiweka album cover akiwa Msalabani Kama Yesu
Mocking
 
Back
Top Bottom