TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
-
- #41
Mkuu ungekuwa unachukia kanisa kukashifiwa ungeenda kuyashitaki makanisa yote yanayotapeli watu huko mtaani.Moderator , Paw Invisible Maxence Melo kwanini mnaruhusu mada za kukashifu kanisa na dini za watu kuwepo humu JF?
Mbona hamna Mweka Hazina?
Hivi uko timamu kweli?Moderator , Paw Invisible Maxence Melo kwanini mnaruhusu mada za kukashifu kanisa na dini za watu kuwepo humu JF?
Baba mchungaji ana balaa zito sanaa hajui kukataliwa anachotaka ye akuoe tu na kamati yake ameshaipanga [emoji1787] sasa nauliza ndugu wa kike tutaalikwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu Uzi nao wa saa ngapi tena mbona sijauona?Asante Shangazi....Baba mchungaji ana balaa zito
[emoji1787] AiseeUkitaka mazezeta yakuja kutoa ushuhuda wa uwongo nifuate pm ila kila kichwa 20k wapo mateja kama 27 hivi
Why kanisa not msikiti,,Bwana Yesu asifiwe watu Mungu.
Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine.
Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu mambo yameenda vizuri.Kanisa letu litakuwa maeneo ya Gongo la mboto kwasababu tulifanya utafiti tukagundua kwa upande ule hakuna kanisa kubwa na la kwetu ndilo litakuwa la kwanza.
Mama mchungaji Joannah alipendekeza ya kwamba ni vema tukaajiri pia wadau humu ndani ili tushirikiane kupiga pesa na kuwaibia watanzania.
Mapendekezo yake ni kama ifuatavyo:-
Kiongozi mkuu wa Kanisa na Nabii TUKANA UONE
Katibu wa kanisa
1. Bujibuji Simba Nyamaume
Wazee wa Kanisa
1. Mpwayungu Village
2. Pascal Mayalla
Mashemasi
1. Robert Heriel Mtibeli
2. Missy Gf
3. DR HAYA LAND
4. Raymanu KE
5. Da'Vinci
Watu wa Mapambo kila siku ya Ibada
1. amadala
2. KENGE 01
3. scolastika
4. Smart AJ
Msimamizi wa Muziki
1. mshamba_hachekwi
Mkuu wa Kitengo cha maombezi
dronedrake
Mkuu wa kuleta watu wa miujiza(Huyu kazi yake itakuwa kuwapa mafunzo namna ya kuigiza wameponywa na Nabii mkuu)
keisangora
Mkuu wa kitengo cha Mapishi kwa Viongozi
FaizaFoxy
Mkuu wa Logistics
Evelyn Salt
Mkuu wa wakusanyaji wa takataka ndani na nje ya kanisa
Chizi Maarifa
Mtu maalumu atakayepewa kazi maalumu
Mshana Jr
Mkuu wa kuhakikisha Vyoo na Mabafu yana maji muda wote
GENTAMYCINE
Mimi kama nabii mkuu na Mtume nitahakikisha kabla hatujaanza kuvuna sadaka za waumini nitakuwa natoa fedha yangu mfukoni na kuwawezesha nyooote,hivyo suala la malipo ondoeni shaka.
Nadhani tutakutana wikiendi hii twende kutembelea eneo la mradi husika.
Ndimi kiongozi wenu mkuu tukanauone@gmail.com
Mie section ya kitimoto siitaki. Nipeni kitengo cha wajinga ndiyo waliwao.Bwana Yesu asifiwe watu Mungu.

kwahiyo kutakua hakuna mafuta wala maji ya upako?Bwana Yesu asifiwe watu Mungu.

Kiti chake ni Cha Rehema.Anyways...Mungu wetu ni mwingi wa huruma na mwenye kusamehe.
Moderators wameiona hii?Bwana Yesu asifiwe watu Mungu.

Nashangaa Uzi umekaa zaidi ya masaa sita.
Si wapuuzi wapuuzi hao. Huu mtandao ni wa kifreemason na ni wa kiwakala wa Kipepo ndio maana nyuzi zinazoashiria humu kula tunda masihara, kupiga punyeto, ushoga na ulawiti, udhalilishaji wa wanawake,kuudhalilisha Ukristo, mizaha na uongo, uchawi, kutukana Ukristo, kupinga uwepo wa Mungu ndio nyuzi pendwa za Moderators. Pumbavu kabisa hawa.Kinachonishangaza moderator wanafutaga nyuzi za maana na kuacha nyuzi za ajabu kama hizi.
Muhuri umepigwa sehemu gani?Mathayo 12:31
Kwa sababu hiyo nawaambieni,Watu watasamehewa dhambi na kufuru zao zote,lakini hawatasamehewa dhambi ya KUMKUFURU roho mtakatifu.
Mimi ni mkristo niliyezaliwa na wazazi wakristo,nimepigwa chapa ya msalaba kukiri Mimi ni mfuasi wa Yesu Kristo,nitamkiri Kristo bila aibu popote, mpaka pale kunywa changu kitapofunga.
Hivyo basi Kwa Haya maandiko Yako,nasikitika kusema umenikosea sana,Fanya upuuzi wako wote ila kwenye masuala ya kiimani please naomba usihusishe ID yangu Kwa namna yeyote Ile.....
Galatians 6:7
Msidanganyike ,Mungu HADHIHAKIWI Kwa kuwa chochote apandacho Mungu ndicho atakachovuna
Ulipoamua kufanya dhihaka zako hukuwa na sababu ya kuniandika Id yangu,sipo hapa Kumdhihaki Mungu nimtumainiye ,Pumzi,vicheko furaha vyote vyatoka kwake,wewe kama umeelewa kiburi Cha uzima sikukatazi kuandika ulichoandika ila Kwa heshima na taadhima tafadhali naomba Edit,na ufute ID yangu
Endapo utakaidi kufuta,Damu yangu iwe mikononi mwako.
Asante.