Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Very very interesting. Kwa hiyo kaka yako kukufokea ndio uthibitisho kwamba alipiga kura jinsi ulivyotaka? Mimi nilidhani kwamba mtaonyeshana kura zenu moments kabla hamjazitumbukiza katika boksi.
 
Haya mambo ya kura za siri yana siri sana. Hapa hata mleta mada anaweza kuwa amepiga kura ya ndio sisi anatuzuga kwamba amepiga ya hapana. Kuna kiongozi mmoja kuho nyuma alieahi kusema kuwa ukupiewa bahasha chukua ila siku ya kupiga kura piga kulingana na unavyotaka wewe mwenyewe binafsi. Baadhi ya kelele ni kufurahisha waliotoa bahasha!
 
Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Ndiyo maana wenye ccm yao wanasema mama atadumu mpk 2030. Kwasbb wana mbinu 36 za kumuibia kura mama. Mpk hapo wametumia moja tu..

Tunapopigania katiba mpya mnatuona mazuzu lkn inakula pande zote
 
Back
Top Bottom