Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

Kura ya makamba na mwigulu zimepishana kwa kura mbili...na hata za bashe na nape kwa mbili ...asngekuwepo gwajima hawa jamaa wangefuatana ..ha ha what a coincidence?
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.

Unaandika jambo na watu bila proof wanaanza kujimwaga na maneno kibao. Kwangu mimi Kama wewe na kaka yako ni Wajumbe na mmepiga kura ndani ya chama chenu kuja hapa hadharani ni unafiki na upumbavu.
 
Aliyezoea kula nyama ya binadamu hawezi kuacha kamwe
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
 
Kile chama kimejaa wazandiki hatari. Wanamng'ong'a tu bibi hangaya.
 
Jamaa zangu watatu wa huko chamani nao wanalalamika kura zao kuchakachuliwa! Kura za hapana zilikuwa nyingi mno ila kwakuwa walioendesha uchaguzi ni wataalam....!
Mambo yetu ya chaguzi za ndani yanawahusu nini nyie??? Mbona nyie hata chsguzi za ndani huwa hamfanyi, ni lini mlichagua mwenyekiti wa ngo yenu zaidi ya mbowe kuwa bosi wenu?
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Unaamini kiwa naye alipiga hapana?
 
Ukweli ni kwamba huyu mama ndani ya chama chake ni wengi sana wasiomkubali na wasiomtaka kwani wanasema hana uwezo kabisa kabisa wa kiuongozi zaidi ya kubebwa na katiba.
Fix 😁😁

Kama Hana uwezo ngoja tusubirie hao wenye uwezo wampige kete 2025
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Sio nyie tuu, za ndani ni kuwa matokeo halisi yangewekwa wazi yangeishangaza ccm yenyewe na kuwapa nguvu wafuasi wa kundi la kina Bashiru.
Ukweli ni kuwa Samia alijipatia 50% + kidogo tuu. Na hilo lingekuwa pigo kubwa sana.
JK, Makamba na wapambe wao walijua hali ya mkutano ule na ndio sababu ya kuwa wakali wenye vijembe badala ya hoja walipopewa nafasi ya kuzungumza.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio uhalisia.
 
Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano.

Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
Alikuonesha kura yake? Alikudanganya kura ni siri ya mpiga kura.
 
Jamaa zangu watatu wa huko chamani nao wanalalamika kura zao kuchakachuliwa! Kura za hapana zilikuwa nyingi mno ila kwakuwa walioendesha uchaguzi ni wataalam....!
mi nawaona km mazuzu flani mnajitekenya. Tafuteni kazi ya kufanya uzushi hauna posho.
 
Back
Top Bottom