Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn umemwambia hivyoKwa hiyo sasa hivi utavumilia ile halufu kali ya kinyesi anapoenda chooni?
Mwanaume unajisifia kabisa kuwa kuwadi wa demu wako.. mkiuliwa kwa kuchomwa moto mlalamika na kusumbua polisi kama yule wa kibaha.. wanaume hakuna siku hizi..Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..
Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua matumbo huyo mtu. Ndo nikalazimisha simu.
Sasa nachat na mbunge nimemwambia atume tsh 500,000 katuma aisee... Kumbe wabunge wana pesa ya mchezo sana..nimemwambia my wife to be hapo yeye namwamchia 100,000 ya voucher mi nachukua 400,000.
Nimemwambia Mbunge anitumie na Iphone mpya kasema nimpe siku mbili atatuma. Hapo anajua anachat na mchumba. yaani bwege sana huyu mbunge. Hivi hawa ndo wanatunga sheria kweli? Daaah ndo maana sheria nyingine ni mbovu.
Nawashauri wanaume tafute mademu wakali mnaweza kuwa mnapata pesa kirahisi tu. Nimemwambia wife asimpoteze huyu mbunge tupige pesa zake.
Ni bora nami nirudishe pesa zangu. Unaweza jifanya eti we mgumu halafu demu wako akawa analiwa hupati kitu. Mi nimewekeza pia kwa huyu demu.
Una uzoefu mkubwa. Ilikuaje wakakufanya laanakum?Na kwa namna hii ukiendelea utakuja shangaa jamaa anakutomba na wewe pia. Maana ukishachukua hela ya mwanaume utegemee nini zaidi ya kutombwa.
Utasikia nakuoenda wew na huyo bwana wako .... akisikika mbunge moja toka dodoma huku akiwa ameshikilia mafuta ya vaseline(mgando)....Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..
Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua matumbo huyo mtu. Ndo nikalazimisha simu.
Sasa nachat na mbunge nimemwambia atume tsh 500,000 katuma aisee... Kumbe wabunge wana pesa ya mchezo sana..nimemwambia my wife to be hapo yeye namwamchia 100,000 ya voucher mi nachukua 400,000.
Nimemwambia Mbunge anitumie na Iphone mpya kasema nimpe siku mbili atatuma. Hapo anajua anachat na mchumba. yaani bwege sana huyu mbunge. Hivi hawa ndo wanatunga sheria kweli? Daaah ndo maana sheria nyingine ni mbovu.
Nawashauri wanaume tafute mademu wakali mnaweza kuwa mnapata pesa kirahisi tu. Nimemwambia wife asimpoteze huyu mbunge tupige pesa zake.
Ni bora nami nirudishe pesa zangu. Unaweza jifanya eti we mgumu halafu demu wako akawa analiwa hupati kitu. Mi nimewekeza pia kwa huyu demu.
Kuna kipindi kulitokea mfululizo wa matukio ya fumaniz na wanaume kulipwa na wagon wao kuanzia 1-4mln,kuna jamaa mmoja akawa analalamika kuwa mbona mke wake haliwi wapate pesaWanaume tunapungua kwa Kasi Sana,nashauri kwsmye katiba mpya tufanywe kuwa nyara za serikali.
Yani mwanaume anajisifu kumchuna mwanaume mwenzie na kumdangia meanamke wake kwa niaba!!?
Man down!!