Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Kijana unaonekana mgeni na wanawake. Sasa hautaamini atakachokufanyia huyo my wife wako.

Atawasiliana na huyo mbunge bila wewe kujua na atamwambia kuwa pesa anazotuma hachukui yeye bali wewe, then mbunge atamuelewa watapanga yao kisiri na atampatia zaidi pesa na watamalizana kimya kimya huku wewe ukidhani umewin.

Utakuja jua mchezo baadae sana huko ambapo umeshafanyiwa matukio ya kugongewa bila kujijua.

Wanawake mbele ya pesa ni sawa na mtu mlafi akishikwa na njaa mbele ya chakula cha mgonjwa, atakila tu kwanza hata ikibidi mgonjwa akose yeye hatojali hilo.
 
Na kwa namna hii ukiendelea utakuja shangaa jamaa anakutomba na wewe pia. Maana ukishachukua hela ya mwanaume utegemee nini zaidi ya kutombwa.
 
Mwanaume unajisifia kabisa kuwa kuwadi wa demu wako.. mkiuliwa kwa kuchomwa moto mlalamika na kusumbua polisi kama yule wa kibaha.. wanaume hakuna siku hizi..
 
Na kwa namna hii ukiendelea utakuja shangaa jamaa anakutomba na wewe pia. Maana ukishachukua hela ya mwanaume utegemee nini zaidi ya kutombwa.
Una uzoefu mkubwa. Ilikuaje wakakufanya laanakum?
 
Utasikia nakuoenda wew na huyo bwana wako .... akisikika mbunge moja toka dodoma huku akiwa ameshikilia mafuta ya vaseline(mgando)....
 
Wanaume tunapungua kwa Kasi Sana,nashauri kwsmye katiba mpya tufanywe kuwa nyara za serikali.

Yani mwanaume anajisifu kumchuna mwanaume mwenzie na kumdangia meanamke wake kwa niaba!!?

Man down!!
Kuna kipindi kulitokea mfululizo wa matukio ya fumaniz na wanaume kulipwa na wagon wao kuanzia 1-4mln,kuna jamaa mmoja akawa analalamika kuwa mbona mke wake haliwi wapate pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…