Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Hawezi kukupa hiyo connection. Kama kaweza kumpindua demu wake, sembuse wewe? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Si atakua ashapata atakachoπŸ˜€πŸ˜€au anataka kujengewa nyumba kabisa
 
Si atakua ashapata atakachoπŸ˜€πŸ˜€au anataka kujengewa nyumba kabisa
Atataka vingi. Hawezi toa jicho moja kwa ajili ya macho matatu peke yake πŸ˜…πŸ˜…
 
MF .Anza kulala kifudi fudi mjomba jegejo yuko njiani.
 
Kumbe yule jamaa aliyeimba nyimbo ya mke wake anadanga na akipata mzungu aende nae kwa mpalange supporters mpo wengi.
Pumbavu zako Chizi Maarifa
 
Ntamsubiri amalize atakavyo kizuri kula na nduguzo jamaniπŸ˜€
Ndugi yake alikuwa yule demu wake. Ila bila huruma kampora danga lake, alaf ndio akupigie pasi ww? Atakupora na wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hela ya mwanaume hailiwi kizembe hivyo.

Kama siyo wewe, basi mchumba wako kimasihara itamhusu
 
Ndugi yake alikuwa yule demu wake. Ila bila huruma kampora danga lake, alaf ndio akupigie pasi ww? Atakupora na wewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Atalikinai tuπŸ˜€πŸ˜€ au atapata lingine
 
Ukweli mchungu ni kwamba ipo siku isiyo na jina demu wako atampatia nyuchi huyo kibopa kama malipo ya hizo pesa na iPhone, Jiandae kisaikolojia buda.
 
Ndio maana nimeshangaa leo umenitumia 200,000 bila sababu kumbe umedanga kwa mbunge??? Na unatufanya mimi na mwanao tule hela ya kudanga kweli??
 
Ni mwendo wa ta ta ta ta ta atakua mzoefu
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Yani hapo tayari ashapoteana huyo. ta ta ta ta shiii shiii, πŸ˜…πŸ˜… kisa gud life
 
Ndio maana nimeshangaa leo umenitumia 200,000 bila sababu kumbe umedanga kwa mbunge??? Na unatufanya mimi na mwanao tule hela ya kudanga kweli??
Ooohh kumekucha. Kumbe hela kamtumia Mama wa mtoto wake πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…