Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Yani hapo tayari ashapoteana huyo. ta ta ta ta shiii shiii, πŸ˜…πŸ˜… kisa gud life
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€bro kuteseka hakuna trophy ukipata short cut unapita nayo tu πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€bro kuteseka hakuna trophy ukipata short cut unapita nayo tu πŸ˜€πŸ˜€
Short cut zingine zina mateso balaa. Kama hiyo aliyochagua jamaa kudanga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Alipotea ghafla bila kuaga kumbe ameenda makao makuu kudanga....leo nmeona muamala wa 200,000 nikajua kapata kazi kumbe looh

Yaan huyu baba watoto kaenda na demu wake huko kufanya mabalaa mwambie arudi mtoto kammiss huki
 
Ndio maana nimeshangaa leo umenitumia 200,000 bila sababu kumbe umedanga kwa mbunge??? Na unatufanya mimi na mwanao tule hela ya kudanga kweli??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..

Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua matumbo huyo mtu. Ndo nikalazimisha simu.

Sasa nachat na mbunge nimemwambia atume tsh 500,000 katuma aisee... Kumbe wabunge wana pesa ya mchezo sana..nimemwambia my wife to be hapo yeye namwamchia 100,000 ya voucher mi nachukua 400,000.

Nimemwambia Mbunge anitumie na Iphone mpya kasema nimpe siku mbili atatuma. Hapo anajua anachat na mchumba. yaani bwege sana huyu mbunge. Hivi hawa ndo wanatunga sheria kweli? Daaah ndo maana sheria nyingine ni mbovu.

Nawashauri wanaume tafute mademu wakali mnaweza kuwa mnapata pesa kirahisi tu. Nimemwambia wife asimpoteze huyu mbunge tupige pesa zake.
Hakuna demu mgumu mbele hela. Ni suala la muda atakuacha ataenda kwa mbunge.
 
Back
Top Bottom