Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

Fungua pm sasa future husband,m napenda sana kupika tutaendana
God have a mercy
Finally nimependwa .
Tafadhali mke wangu ingia tu PM iko wazi ,kikubwa andika namba yako kama kichwa Cha habari ili nikupigie maana ukiandika maelezo PM yangu inagoma kunionesha hayo maelezo hivyo tutashindwa kufikia lengo .

Karibu mke wangu mzuri
 
Baiiiii Jamaniiii nilkuja jf kupata mume sasa tayar,nibaki kufanya nin 😌😌
 
Unapompa mpenzi wako umbali, kiroho na kimwili, unampa shetani akae kwenye nafasi hiyo.

Anachukua nafasi yako bila ruhusa yako na anajijengea makao kwako.
Usiruhusu shetani awe na nafasi nyumbani kwako. funga njia zote za shetani kuweza kupitia.

Na wote tuseme Amen...
 
we niamini mimi,huu ni mwandiko wangu kabisa,, namaanisha au wewe unanichota tu🙄
Mwenzio hivi nimelewa ulanzi ,na komenti ya wewe kuniitaji nimewaonesha mpaka wazee hapa klabuni hivyo naomba uwe serious ,tuanzishe maisha muda haupo kabisa ,tufanye haraka naomba
 
Too late. Mkeo ameshajua interest za afande, na pa kumpata.
 
Mwenzio hivi nimelewa ulanzi ,na komenti ya wewe kuniitaji nimewaonesha mpaka wazee hapa klabuni hivyo naomba uwe serious ,tuanzishe maisha muda haupo kabisa ,tufanye haraka naomba
Mi nimelewa togwa na chimpumu,,upo kilabu kipi nije tuongee live
 
Back
Top Bottom