MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
God have a mercyFungua pm sasa future husband,m napenda sana kupika tutaendana
Baiiiii Jamaniiii nilkuja jf kupata mume sasa tayar,nibaki kufanya nin 😌😌God have a mercy
Finally nimependwa .
Tafadhali mke wangu ingia tu PM iko wazi ,kikubwa andika namba yako kama kichwa Cha habari ili nikupigie maana ukiandika maelezo PM yangu inagoma kunionesha hayo maelezo hivyo tutashindwa kufikia lengo .
Karibu mke wangu mzuri
Safi kabisa ,unamaanisha lakini ? Naona kama ngekewa ujueBaiiiii Jamaniiii nilkuja jf kupata mume sasa tayar,nibaki kufanya nin 😌😌
we niamini mimi,huu ni mwandiko wangu kabisa,, namaanisha au wewe unanichota tu🙄S
Safi kabisa ,unamaanisha lakini ? Naona kama ngekewa ujue
Unapompa mpenzi wako umbali, kiroho na kimwili, unampa shetani akae kwenye nafasi hiyo.
Anachukua nafasi yako bila ruhusa yako na anajijengea makao kwako.
Usiruhusu shetani awe na nafasi nyumbani kwako. funga njia zote za shetani kuweza kupitia.
Nawe hivi ulishaoaga????Na wote tuseme Amen...
Nawe hivi ulishaoaga????
Ha ha ha....Kwamba unanijua ama?
Wala....vitu vinafanywa deliberately...easy man!🙂
Ushamiksi ID eenh
Wala....vitu vinafanywa deliberately...easy man!
Mwenzio hivi nimelewa ulanzi ,na komenti ya wewe kuniitaji nimewaonesha mpaka wazee hapa klabuni hivyo naomba uwe serious ,tuanzishe maisha muda haupo kabisa ,tufanye haraka naombawe niamini mimi,huu ni mwandiko wangu kabisa,, namaanisha au wewe unanichota tu🙄
Mm n reli nabeba treniHutamuweza na kama huyo avatar niwewe
Mi nimelewa togwa na chimpumu,,upo kilabu kipi nije tuongee liveMwenzio hivi nimelewa ulanzi ,na komenti ya wewe kuniitaji nimewaonesha mpaka wazee hapa klabuni hivyo naomba uwe serious ,tuanzishe maisha muda haupo kabisa ,tufanye haraka naomba
Oke okeeeMm n reli nabeba treni
Njoo PM tafadhaliMi nimelewa togwa na chimpumu,,upo kilabu kipi nije tuongee live
😌SawaNjoo PM tafadhali