Siku ndoa yako ikiota mapembe ndiyo utajua kilichomtoa kanga manyoya. Nyie ndiyo wale wanawapost wapenzi wao mitandaoni. Siku wakigombana, picha zote zinafutwa.
Tena ukimtangaza watamgonga tu mabaharia. Ugonjwa wa mwanamke ni hela. Nenda kamuulize Alikiba baada ya harusi yake kurushwa live kwenye televisheni. Nini kilifuata?