Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

Weka picha tuone kwanza kama yaliyomo yamo[emoji23][emoji23]
 
Wewe pacha wake Monicaaa?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Una njia nyingi za kutafuta Public attention kama wanasiasa
 
yani kama ningemjua huyo mke wngu ningehakikisha namtomba ili ujue,maana najua hilo ndo solution la kutuletea ungese wako humu
 
Siku ndoa yako ikiota mapembe ndiyo utajua kilichomtoa kanga manyoya. Nyie ndiyo wale wanawapost wapenzi wao mitandaoni. Siku wakigombana, picha zote zinafutwa.
Tena ukimtangaza watamgonga tu mabaharia. Ugonjwa wa mwanamke ni hela. Nenda kamuulize Alikiba baada ya harusi yake kurushwa live kwenye televisheni. Nini kilifuata?
 
tuletee picha yake hapa JF, tuone urembo wa sura yake kwanza kisha tutakupa ushauri wetu.
 
hii list
1.mke wangu mjamzito
2.kiduku lilo
3.na yule dogo anaye jiita champgnee sijui


mnafanya yule mama mkongwe anayejiita "lala 1" akisoma yaliyo yenu ana disconnet jf app na data ndyo mana hatumuoni
 
Nahisi umepost huu uzi wakati umepewa papuchi,unakaribia kufika kileleni
 
Back
Top Bottom