Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
πππ mi wa late 80s punkass...!!Watoto wa 2000 kwa kudeka....
Oyaa mwanaume hapa sio mama, na sio kweli kina mama wanaharibu watotonyinyi kina mama ndio mnaongoza kuharibu watoto
Uzi ufungwe. Kijana halisi wa kiume lazima kuna muda yeye na babake wasielewane... yaani kuvurugana kimtindo kupo.Kwauzoefu wangu hiyo ni hali ya kawaida kwa vijana wengi wa rika kama lakwako ni stage tu katika ukuwaji wa ubongo wako ,Utaanza kumuelewa baba yako ukitimiza miaka kuanzia 35+
Nimeeleza kwa ufupi sana na nahisi wengi wameelewa mkuuMkuu katika hiki ulichokiandika mfano nikisema unioneshe convincing part inayoelezea ubaya wa mzee wako, unadhani unaweza ku point maelezo gani?
Comments za hivi unaignore tu mkuu kama huzioniHayo ni mawazo yako...
Kwanza hongera sana kwa wito mkubwa ulio nao kwenye kuandika kiingereza chenye makosa. "A best"?? Kiwanglish waachie dada zako. Binafsi kulingana na maelezo yako sijaona tatizo la baba yako. Ingekuwa umeandika alikuwa hawahudumii mahitaji yenu muhimu na kuwapeleka shule ningeona kuna hoja. Yeye kuwalinda ni jambo kubwa sana kawafanyia. Kijana acha pigo za kiwaki kujiliza kifala. Hata wewe utakuwa baba na utaona changamoto kuhakikisha familia inakuwa sawa kwenye kila angle.Mama yangu was such a best woman ever existed (may she rest easy)
Niweke wazi mlezi mkuu ni Mungu pekeakeUnajua hapa kuna context nyingi sana za kuongelea...
Ila naona kama Scars amedive moja kwa moja kwenye malezi...
Kwenye malezi kuna facets nyingi sana..
Hauwezi kureduce malezi kirahisi na kuja na conclusion ya moja kwa moja eti mzee alikuwa sahihi kuwaadabisha... To consider him sane kisa alikuwa mzazi bora, without looking on the psychological welfare, lakini pia kuingia ndani zaidi... Kujua how both culture and environment zinachagiza vikubwa growth ya mtoto..
It ain't that simple na kuridhika na mawazo ya namna hiyoo..
Waafrica tunapenda kureduce mambo ambayo ni soo complex, tunapenda kufeel closure kwenye kila jambo.. Na hii ndo inafanya hata matatizo ya kifamilia yasiishe kila kukicha
Sisi mzee wetu alikuwa anatupeleka sinema miaka hiyo ya 90 kwenye 93 hivi. Alitupa uhuru wa kutosha ila giza likikukuta nje ni kichapo cha haja. Udikteta sana pia sio mzuri.Niweke wazi mlezi mkuu ni Mungu pekeake
Wengine tumejilea wenyewe na kujionea hili baya hili zurii...
Kuna dogo baba Yao alikua mkali sana ukitoka shule saa nane unakula then kulala mchana baadae tution jioni
Walikua wanabanwa sana ila mbona mzee hakutoboa
Wengine tumejilea wenyewe mpaka tunakua wazazi walikua ni kutupa miongozo ila sio kutu guide kidicteta
Uko sahihi mkuu, kwa reaction zake humu jamvini nilihisi kutakuwa na shida tu.Story yako imekuelezea vizuri sana haswa reaction ambazo huwa unatoa humu.