Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ndefu sana. Ipunguze unitag
Haya ni mapito tu yachukulie kama nyenzo ya kukujenga kuwa bora, usiishi kwa kulaumu. Mkabili mzee wako ikabili hofu yako kwakoe na ongea naye kiamani na kwa heshima tu, amini ukiweza hili utaweza kukaa naye vizuri.Nashukuru Nimesoma yote na Nitafanyia kazi🙏🙏
Mkuu, waafrika matatizo ya kisaikolojia tunayo sana tu ila ni kwamba hatuna ufahamu wa kutosha na tunachukulia kawaida. Mfano mzuri wa tatizo la kisaikolojia tulilonalo ni uoga kupitiliza, sisi ni waoga mnoo tena hadi kwenye kutetea haki zetu, mzungu mtoto mdogo anaweza kushiriki maandamano au mgomo bila hofu, kitu ambacho sisi hatuna ,tukionewa tunachutama tuonewe zaidi.Pia tunawaabudu watu wengine ambao sio waafrika na kuwaona miungu,yaani mzungu akienda ofisini wahudumu wanamjali kuliko wanavyojali mwafrika mwenzao,hilo ni tatizo la kisaikolojia tayari.Wa
Waafrika hawana matatizo mengi ya kisaikolojia kama Wazungu wazungu ni waoga wa sheria tu ila wengi wana matatizo ya akili kuliko sisi.
Umemaliza yote mkuu, yaani unakuta mzazi anamuita mwanae pumbavu kisa tu kafanya kosa ambalo kwa mtoto ni kawaida. Hivi inakuwaje mtoto wako mwenyewe ghafla awe pumbavu? Mi sielewi wazazi wanaotukana watoto. Mtoto akikosea, atajiwe kosa lake,hata kama kwa sauti ya ukali kidogo ila aambiwe kosa lake,aadhibiwe mfano fimbo kadhaa na akatazwe sana asirudie. Lakini kumtukana matusi aisee hapana aisee,mwanangu nimzae halafu nimbadili jina aanze kuwa pumbavu, mjinga,etc. NO NO NEVER.Pole sana. Naelewa kwa kiasi fulani maisha uliyopitia, na bahati mbaya watu wengi wamepitia hali kama hiyo. Kwa wale ambao hawajawahi kuona madhara yake, mfano mzuri ni maisha ya Michael Jackson na baba yake, Joe Jackson.
Joe aliamini kwamba ukali, vipigo na maneno makali vitamjenga mwanawe na kumfanya awe bora. Lakini kwa upande mwingine, malezi hayo yalimwachia Michael majeraha makubwa ya kisaikolojia na kumbukumbu ambazo ziliendelea kumfuata hata alipokuwa mtu mzima. Hapo ndipo tunapojifunza kwamba si kila kitu mzazi anachokiita “malezi” mtoto anakiona hivyo; wakati mwingine mtoto anakiona kama mateso.
Na hili ni jambo muhimu sana ambalo wazazi na walezi tunapaswa kulielewa: mtoto akiumizwa sana na mtu aliyepaswa kuwa sehemu yake salama, maumivu hayo yanaweza kumfanya ajitenge hata akiwa mtu mzima. Anaweza kufikia hatua ya kutotamani kurudi nyumbani, kutotaka kukutana na familia au hata kutotaka chochote alichorithishwa, kwa sababu kila anapokanyaga pale anakumbuka yale aliyopitia.
Ninasema hivi kutokana na uzoefu wangu binafsi. Baba yangu alifariki miaka 10 iliyopita, lakini majeraha ya kisaikolojia aliyoniachia yamekuwa makubwa kiasi kwamba sijawahi kujisikia kugeuka tena nyumbani. Hata baada ya yeye kufariki, sikuhisi kwamba kifo chake kilitosha kufuta yale yaliyopita. Niliwaambia ndugu zangu wazi kwamba kuhusu urithi wake, sitaki chochote; wagawane wao, mimi mniondoe. Si kwa sababu sina thamani ya vitu hivyo, bali kwa sababu kuna wakati amani ya moyo ina thamani kubwa kuliko mali.
Ndiyo maana huwa nawaambia wazazi na walezi: waacheni watoto waishi utoto wao. Msiwapokonye utoto wao kwa kisingizio cha “tunawajenga.” Mtoto anahitaji nidhamu, lakini nidhamu si sawa na kumdhalilisha, kumtukana au kumpiga bila mipaka.
Mtoto pia anahitaji kukosolewa, lakini akosolewe kwa heshima. Mfundishe kosa lake, mpe mipaka, msimamie, lakini usimvunje utu wake. Usimfanye mtoto aogope uwepo wako kiasi kwamba akue akitamani siku moja tu aondoke nyumbani na asirudi tena.
Kuna tofauti kubwa kati ya kumlea mtoto kwa ukali na kumuumiza mtoto. Na wakati mwingine tunatambua tofauti hiyo tukiwa tumechelewa.
Wazazi, watoto hawahitaji tu chakula, shule na mavazi. Wanahitaji pia usalama wa kihisia, upendo, kusikilizwa na kuheshimiwa. Utoto unapita mara moja. Usimnyang’anye mtoto utoto wake halafu miaka 20 au 30 baadaye ujiulize kwa nini hataki tena kuwa karibu na wewe.
Mlee mtoto kwa nidhamu, lakini usimlee kwa hofu. Mjenge, usimvunje.
Yaani mkuu, tunaona tuna malezi mazuri lakini tunazalisha watu wanaokuja kukojoa na kutupa taka barabarani,tunazalisha mafisadi, wapenda rushwa etc. Sio kwamba wazungu wamekamilika hapana,ila malezi yetu bado yana mapungufu mengi hatupaswi kujisifu, tunapaswa kujiboresha.Sio waoga wa sheria ila wanaheshimu sheria, wanaishi kwa mifumo na wanafuata mpangilio.
Sisi ambao mnasema "tumelelewa vizuri" Lakini vitu vidogo hatuwezi inakuwaje
Thank you mkuuHaya ni
Haya ni mapito tu yachukulie kama nyenzo ya kukujenga kuwa bora, usiishi kwa kulaumu. Mkabili mzee wako ikabili hofu yako kwakoe na ongea naye kiamani na kwa heshima tu, amini ukiweza hili utaweza kukaa naye vizuri.
Na hayo matusi huwa yanakuwa yanamuumiza kuliko hata kosa lenyewe la kibinadamu.Umemaliza yote mkuu, yaani unakuta mzazi anamuita mwanae pumbavu kisa tu kafanya kosa ambalo kwa mtoto ni kawaida. Hivi inakuwaje mtoto wako mwenyewe ghafla awe pumbavu? Mi sielewi wazazi wanaotukana watoto. Mtoto akikosea, atajiwe kosa lake,hata kama kwa sauti ya ukali kidogo ila aambiwe kosa lake,aadhibiwe mfano fimbo kadhaa na akatazwe sana asirudie. Lakini kumtukana matusi aisee hapana aisee,mwanangu nimzae halafu nimbadili jina aanze kuwa pumbavu, mjinga,etc. NO NO NEVER.
Kila binadamu huwa anakuwa na mtihani wake... Leo nimeona nitoe japo snippet yangu, kwa vile hili jukwaa ni kubwa nadhani naweza kupata mtu wa kunibadilisha mawazo..
Kwanza kabisa.... I'll be 29 this month. Na kuna vitu huwa navipuuza but they're starting to make clear sense now..
Si unajua utu uzima dawa Buddha! So japo mapambano yanaendelea kuna time inabidi uwe vulnerable kidogo uache ego ikae pembeni maana haiweki chakula kwenye sahani wala kulipa kodi.
So, kufupisha stori ni hivi...
Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena... Maana Kadri siku zinavyoenda nazidi kupata picha yake halisi na ninazdi kukosa connection nae kabisa sioni kama kuna umoja kati yetu..
Ninamheshimu sana mzee, amenipa maisha, ya kipekee sana, katusomesha, he was overly protective. Ila alikuwa sijui itakuwa sahihi kusema kapitiliza kutoa protection..
Baba yetu alikuwa mtu wa perfection yaani hataki kusikia ulisahahu nini, alikuwa hataki mazoea na watu growing up nimelelewa maisha ya geti kali.. Hatukua wa kishua hata ila ni vile tu mzee alikuwa na secure job.
Mama yangu was such a best woman ever existed (may she rest easy)
Sitaki kwenda deep zaidi, ila hayo maisha ni mabaya sana kwa watoto. Yanawaharibu sana kisaikolojia..
Mzee wangu alikuwa so controlling na ikifika hatua by the age of me getting to secondary school nikawa naona kabisa haya maisha sio right.. Yaani he was dealing with alot for sure, but even when since mom was still available akifanya vile vile kwake, so nimekuwa nikiona familia iliyo njema na yenye furaha kwa nje, but giza likitanda usiku ni hatari.. Kelele torture kwa wanaishi ndani.
Sitaki kuingia sana kuelezezea nini kulikuwa kinatokea ila nahisi mmepata picha sahihi..
Ili fika kipindi ikawa ukifika muda wa kurudi shule moyo unafurahi... Ila bado unatoka home na Maumivu tu, yaani it was hell... Na ukiwa mtoto wa kiume inapaswa umezee ndani. Usiwe weak, usiwe coward..
My school life was nerve wrecking, I never enjoyed it.. Hata ndugu hawakutaka kusikia kuhusu mimi na drama za mzee wangu. It was lonely as fvck.. It reached a point nikawa suicidal kabisa.. Ningekuwa najua mbinu za Kujimaliza ningelifanya hivyo.. I always thought of my mom.. Na hata kifo chake mzee pia alichagiza(she was tired of all the mess)... Na muda nikikaa kufikiri huwa natumia vibaya sana.
Kupunguza stori, ni kuwa beside yote hayo mzee katufunza kuwa disciplined, alikuwa ni mtu wa nothing happens usipo jituma. Na ilinisaidia sana kuperform shule I despite mazito niliyo kuwa na pambana nayo ndani.
Ila with all the chaos, nilipo fika chuo nilisema mazima home, or tuseme nilikuwa soo tired hata kumface mzee machoni ilikuwa trauma inducing. Ilikuwa hata akinioigia simu natetemeka kuokota.. Hiyo ni miaka ya 2021 na huko na maliza chuo nikasema.. I have nothing to do with him, nikajiapia ntarudi ila I was terribly tired of thinking atakuwa sawa. Ilikuwa ni kelele daily aisee..
Sasa baada ya kutoka home life ilikuwa ngumu mbaya mbovu... Sijawahi kuona uchungu wa kutafuta wazee, that's when life kicked me to the curve. Nililala chini mimi. All I had was money ya kodi tu. Nikifanya kazi kama mtumwa, na sijui hata ujasiri huo Ulitoka wapi.. All I did was for money, imagine unafanya kazi kutwa unapata elf5? Hapo Natafuta Ajira ya kujishikisha.
All was well, baada ya muda nikaanza kuwa stable, na maisha ya kaanza kuwa smooth, but trust me kuna muda kidogo nirudi home, ila ili shindikana kwa sababu ningeaibika tu. I worked my ass off nikaanza kuona matunda.. Japo Sija fika ila I see progress.
So baada ya miaka kama mi3 hivi ya ku struggle ndo sasa naanza kuiona picha halisi ya mzee, wangu. He only instilled fear on me. Nimejikuta nikichukia watu sana, nikichukia hasa kuona mtu ana I control... Hasa makazini. Sipendi mtu aniamrishe(huwa ina induce pain kutoka kwa mzee wangu)
I know ni kwa sababu ya zile kumbukumbu za mzee wangu, nimekuwa nikijibizana sana na maboss kazi baada ya kazi, nataka niwe my own boss. Ila we both know sio rahisi. Maisha ya nahitaji kujishusha ila kwangu inakuwa kipengele maana huwa naweza kuwa people pleaser au kujiona kupitiliza(hii ni imbalance ya bad treatment utotoni)
Najaribu kujifunza na kuwa bora, na naona matokeo kuhusu hilo(it's taken me years of shadow work)
Tukiachana na hayo yote, baada ya muda mrefu mzee amekuwa kama anataka nirudi, najua uzee na upweke utakua unammendea ila sioni kama nitaweza hata kumface tena.
Hivi unajua ile ya kuwa huna commonness na mtu? Yaani unajua kabisa huyu ni mtu wa namna gani, na unajua hata iweje hawezi kuwa wamoja?
Ndo ninavyo mwona baba yangu, I do respect and love him for being a good Dad. Ila ile treatment yake udogoni iliniharibu vibaya sana mustakabli wa maisha yangu, nimesha samehe na namtakia afya na maisha marefu sana but sioni kama tutakaa kuelewana tena. Yeye ana namna anayaona mambo ambavyo mimi sioni..
So kama mtu mzima, na utu uzima dawa nimeona hakuna haja tena ya kukaa na jambo lenye kuja kuwa na impact ambayo mimi huenda nisiione now.
Ningependa kama tungeacha drama kidogo katika hili, ingependeza kidogo
Binadamu pekee atakayefurahi wewe unapopata mafanikio au unapokuwa bora zaidi yake ni baba na mama yako pekee.Kila binadamu huwa anakuwa na mtihani wake... Leo nimeona nitoe japo snippet yangu, kwa vile hili jukwaa ni kubwa nadhani naweza kupata mtu wa kunibadilisha mawazo..

Ningependa kama tungeacha drama kidogo katika hili, ingependeza kidogo.
Kabisaa mkuu, fimbo zinasahaulika ila maneno makali hayaondoki moyoni.Na hayo matusi huwa yanakuwa yanamuumiza kuliko hata kosa lenyewe la kibinadamu.
Nashukuru kwa maneno ya hekima mkuu🙏Binadamu pekee atakayefurahi wewe unapopata mafanikio au unapokuwa bora zaidi yake ni baba na mama yako pekee.
Ukilikubali hilo, utakubali pia kwamba katika mchakato wa kukufanya uwe bora, kuna kukosea pia kama binadamu, na hapo ndipo utakaposamehe na kusahau na kuendelea kuishi kwa furaha, amani na upendo.
✅✅✅✅Baada ya kujua how impactful maneno yalivyo... Huwa siyatumii kabisa kuondoa ukakasi..
People forget what you did, but remember how you made them feel
Wazungu wameshitakiana sana kwa mambo mengi ya kushangaza ndiyo maana wanaogopa sana sheria.Sio waoga wa sheria ila wanaheshimu sheria, wanaishi kwa mifumo na wanafuata mpangilio.
Sisi ambao mnasema "tumelelewa vizuri" Lakini vitu vidogo hatuwezi inakuwaje
Kwanza yote uliyoeleza hayareflect matatizo ya akili wala kisaikolojia.Mkuu, waafrika matatizo ya kisaikolojia tunayo sana tu ila ni kwamba hatuna ufahamu wa kutosha na tunachukulia kawaida. Mfano mzuri wa tatizo la kisaikolojia tulilonalo ni uoga kupitiliza, sisi ni waoga mnoo tena hadi kwenye kutetea haki zetu, mzungu mtoto mdogo anaweza kushiriki maandamano au mgomo bila hofu, kitu ambacho sisi hatuna ,tukionewa tunachutama tuonewe zaidi.Pia tunawaabudu watu wengine ambao sio waafrika na kuwaona miungu,yaani mzungu akienda ofisini wahudumu wanamjali kuliko wanavyojali mwafrika mwenzao,hilo ni tatizo la kisaikolojia tayari.
Mifano ipo mingiii
Hapo kwa kumgusa mtu hapa Bongo mwanaume anamshika mwanamke hovyoo na hashtakiwi popote,ukiwa wa kike hii inakera sanaa.Wazungu wameshitakiana sana kwa mambo mengi ya kushangaza ndiyo maana wanaogopa sana sheria.
Huo uongo kwa muda mrefu umejengq hiyo culture ya kuogopana kupita kiasi.
Wazungu wanashitakiana hata kwa kumgusa kwa bahati mbaya.
Sisi bado hatujawa wengi kwenye small settlements ndiyo maana wengi tunaishi wildly kiasi fulani.
Tena sana with time watu watapelekana mahakamani yataisha tuHapo kwa kumgusa mtu hapa Bongo mwanaume anamshika mwanamke hovyoo na hashtakiwi popote,ukiwa wa kike hii inakera sanaa.
Uoga ni tatizo la kisaikolojia, utamaduni unaweza kuwa chanzo, sikatai. Kila kiumbe kimewekewa hali fulani ya kutaka kupambana pale kinapoona hatari,pale ambapo hiyo hali ya kutaka kupambana inaondoka ilihali uko hatarini ni tatizo la kisaikolojia hilo.Kwanza yote uliyoeleza hayareflect matatizo ya akili wala kisaikolojia.
Hayo mengi yamejengwa katika tamaduni tu za waafrica with time yataisha na kujenga jamii tofauti kabisa.
Kwisha habari yako,sio my momy ni mama mzee we ushakuwa mtu mzima sasa ukioa itafika hatua utagombana na watoto wako kwa sababu ya mkeo wewe.Hizo momy momy hizo zinamaana hukutandikwa vizuri na mama yako.Hayo ni mawazo yako. Hujui kitu kuhusu my mom.