Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
“Mimi naiba tu sina kazi nyengine mjini, ukinipiga ukiniuwa utajua mwenyewe…” 😂
Ni kweli kabisa....yaan kabisaPOVERTY IS THE FATHER OF CRIME
mwamba amepiga punch lines hatari🤣Mi ni mtu wa KAZI
Sina hela, Sina kazi
Sheria ifuate mkondo wake
😂😂😂 Yule aliyekamatwa naye akamuuliza "dogo kwahiyo unataka tufungwe"Mi ni mtu wa KAZI
Sina hela, Sina kazi
Sheria ifuate mkondo wake
TukafungweMi ni mtu wa KAZI
Sina hela, Sina kazi
Sheria ifuate mkondo wake
Imeisha iyoMimi mtu wa Kazi
Siwezi kuacha Kazi
Ukinipiga ukaniua utajua mwenyewe
ID yako inaendana na mistari.Mimi mtu wa Kazi
Siwezi kuacha Kazi
Ukinipiga ukaniua utajua mwenyewe
Aaaaha kaka , Kijana yupo hatua mbaya Sana asaidiwe kiakili ataponaID yako inaendana na mistari.
Ila bora kijana awe ivo kuliko kuwa shoga anafumuliwa marindaAaaaha kaka , Kijana yupo hatua mbaya Sana asaidiwe kiakili atapona
Nchi ya watu wa adhabu hakuna mtu anayejali kumrekebisha... Kama watu hushangilia watu wa CHADEMA wanapopigwa marungu na polisi watajali kumrekebisha huyo dogo anayeamini kajiari kwenye kuiba?Aaaaha kaka , Kijana yupo hatua mbaya Sana asaidiwe kiakili atapona
Chadema ni chama cha ccm kinapotozea watu mudaNchi ya watu wa adhabu hakuna mtu anayejali kumrekebisha... Kama watu hushangilia watu wa CHADEMA wanapopigwa marungu na polisi watajali kumrekebisha huyo dogo anayeamini kajiari kwenye kuiba?
Chama cha CCM ? Kwa nini sasa CCM inapambana na CHADEMA kama mwisho wa Dunia umefika kama CHADEMA ni chama chao?Chadema ni chama cha CCM kinapotozea watu muda
Maneno ya kufikirisha sana. Wenye uwezo wa kumpa kazi amsaidie kumpa kazi. Atakuwa mtumishi mzuri.Mimi mtu wa Kazi
Siwezi kuacha Kazi
Ukinipiga ukaniua utajua mwenyewe