Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Hata sisi walinzi ndio tunaruhusu wagonjwa wapite kuja huko Lab bila sisi hawatokujaMd wanasubiri majibu ya lab ili wakagawe dawa,bila majibu ya lab md hafanyi kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sisi walinzi ndio tunaruhusu wagonjwa wapite kuja huko Lab bila sisi hawatokujaMd wanasubiri majibu ya lab ili wakagawe dawa,bila majibu ya lab md hafanyi kazi.
Hujui unaloongea
Tafuta NGOs utanishukuruWaalimu tunaruhusiwa kukomenti???
Dogo unaongea kitu gani hiki?katika uhalisia am laboratory personnel but lab Ni bora Ile ya diploma.. Lab ya degree Ni ya uongo haikufanyi uwe competent...mtoa Mada utabisha sababu uko mwaka WA kwanza ila sisi tuliopita huko tunaelewa.... Mm ni mwana maabara lkn MD NI BORA KULIKO LAB..... MD yoyote yule anaweza carry out all tests za maabara, sababu wa nasoma... Pia Kuna baadhi ya sample maabara wewe mtu wa lab hufanyi collection ila MD Ana collect mfano CSF.... MD ANAWEZA AKAFANYA KILA KITU AMBACHO KIDA ZINGINE ZINGEFANYA
Niko na degree na Sasa Nipo kazini.... Umetaja test za kitotoDogo unaongea kitu gani hiki?
Kwamba Lab technologist awe competent kuliko scientist?
Kwamba MD amesomea kufanya Diagnostic test eg:- Stool concentration, urine filtration test, Buffy coat test, Peripheral smear, CBC test, sickling test, Serological tests with Cultivation methods, Diatoms for Drowning investigation etc
Dogo kapige shule usiishie Diploma ndo utajua kwamba hata hiyo CSF sample collection unaweza fanya hata wewe, ila hiyo Anatomy & physiology uliyosoma diploma usiilinganishe na ya Bachelor.
Shika adabu yako.
Nimetaja test hizo ili niendane na uelewa wako unaonekana ni mdogo sana.Niko na degree na Sasa Nipo kazini.... Umetaja test za kitoto
No lab scientist no md work mtaua wagonjwa
Nimetaja test hizo ili niendane na uelewa wako unaonekana ni mdogo sana.
Na kama unaona Culture ni Test ya kitoto basi hiyo Degree yako ni ya kununua cheti hukuingia darasani.
Sasa naomba unijibu ni chuo gani cha hao MD wako Wanafundishwa hizo
Culture test ya kitoto bro .. 7yrs in job now ...huwez niambia kitu kuhusu lab... department zote nimefanya kazi Tena ..nafanya Kaz zonal referral hospital 🏥.....wewe unataka niambia nn..takataka weweNimetaja test hizo ili niendane na uelewa wako unaonekana ni mdogo sana.
Na kama unaona Culture ni Test ya kitoto basi hiyo Degree yako ni ya kununua cheti hukuingia darasani.
Sasa naomba unijibu ni chuo gani cha hao MD wako Wanafundishwa hizo test.
Dogo wacha matusi, Jibu hoja uoneshe usomi wako huo.Culture test ya kitoto bro .. 7yrs in job now ...huwez niambia kitu kuhusu lab... department zote nimefanya kazi Tena ..nafanya Kaz zonal referral hospital [emoji541].....wewe unataka niambia nn..takataka wewe
inasikitisha unazihilisha haunakitu kichwanikatika uhalisia am laboratory personnel but lab Ni bora Ile ya diploma.. Lab ya degree Ni ya uongo haikufanyi uwe competent...mtoa Mada utabisha sababu uko mwaka WA kwanza ila sisi tuliopita huko tunaelewa.... Mm ni mwana maabara lkn MD NI BORA KULIKO LAB..... MD yoyote yule anaweza carry out all tests za maabara, sababu wa nasoma... Pia Kuna baadhi ya sample maabara wewe mtu wa lab hufanyi collection ila MD Ana collect mfano CSF.... MD ANAWEZA AKAFANYA KILA KITU AMBACHO KIDA ZINGINE ZINGEFANYA
Text ndio nn?....inasikitisha unazihilisha aunakitu kichwani
Md gan anaesomea text za maabara chuo gan ambapo wanafundishwa nikasome uko
Zihilisha=Dhihirishainasikitisha unazihilisha aunakitu kichwani
Md gan anaesomea text za maabara chuo gan ambapo wanafundishwa nikasome uko
umeamia kwenye kiswahili kwani umesikia chuo nimesoma ngeli na viambishiZihilisha=Dhihirisha
Auna kitu=Hauna kitu
Ambapo=ambacho
Uko=huko
Duuucoat inakufanya unavimba
Hizi taaluma hazitafuti bingwa Nani?Md wanasubiri majibu ya lab ili wakagawe dawa,bila majibu ya lab md hafanyi kazi.