Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna mtu hakuelewi hadi hapa basi kichwani atakuwa VACUUMHuyo dogo ni miongoni mwa vijana wengi wanaohitimu vyuo kwa ujanja ujanja mwingi ikiwemo kwa kununua mitihani alimaarufu kama Possible (Gaka).
Dogo ana Diploma alafu anajifanya Scientist wa Zonal RH.
Quality Management System (QMS) inahitajika sana ili watumishi wawe na Continous Medical Education makazini ili kuokoa vilaza kama hawa.
Mfano: 1. Chuo kikuu cha Kampala International University Tanzania wanafundisha Somo la Pharmacology kwa wanafunzi wa maabara ngazi ya Shahada (Scientists), lakini haiwafanyi kuwa wafamasia waende kuPrescribe na kuDispense dawa.
2. Mwanafunzi wa shahada ya maabara anafundishwa kila ugonjwa na dawa mahususi ya matibabu kama Baseline tu lakini hamfanyi kuwa competent katika matibabu ya dawa maana kuna vitu baadhi havijui kuhusu dawa kama Dosage, Contraindications, Side effects & Management.
Sijakuelewa, weka clear.Haaaaaa...! Mwaka gani? Kwa Cheti gani?
Yaan ulitumia Diploma ya CO kusoma Bachelor nyingine nje ya afya au ulikua na Chet cha 4m6?Sijakuelewa, weka clear.
Yaan ulitumia Diploma ya CO kusoma Bachelor nyingine nje ya afya au ulikua na Chet cha 4m6?
Ilikua Mwaka gani hiyo au ni Course gan hiyo ulichukua Maana nafaham zama hizi kada haziingiliani.
Umesahau kwamba MD ndo anakuagiza au kukutuma?Md wanasubiri majibu ya lab ili wakagawe dawa,bila majibu ya lab md hafanyi kazi.
Umesahau kwamba MD ndo anakuagiza au kukutWK
Are you passionate about science and technology? Ready to make a difference in the world of laboratory sciences? Join us at the Dar es Salaam Institute of Technology, Mwanza Campus for our Bachelor of Technology (B. Tech) in Laboratory Sciences program!Sijakuelewa, weka clear.