Mimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist

Mimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist

Md ada kubwa sanaa hasa private na medical lab atlist unaweza afford afuu vyuo vya ma MD ni vingii sana kuliko Medical lab hivoo kufanya medical lab kuw na watumishi wachache na marketable
Medical laboratory qualification zikoje Kwa form four?
 
Hizi taaluma hazitafuti bingwa Nani?

Kiuhalisia, MD anasoma almost katikati ya kila taaluma ya Afya halafu mkazo anaweka kwenye prescription na procedures.
Umeongea kwa usahihi mkuu.
Hizi taaluma zinategemeana katika kufanikisha lengo la kutoa huduma stahiki kwa Mgonjwa/Muhitaji.

Hakuna Taaluma itajua kila kitu cha taaluma ingine atleast Hints za juu juu.

Tatizo zama hizi kuna vijana wengi wanaenda kusoma kwa dhumuni la kupata ajira kirahisi bila kuwa na Passion ya taaluma halisi ndomana tunakua na watumishi Incompetent waliopata cheti kwa ujanja ujanja bila maarifa halisi.

Sio ajabu kukutana na Mtaalamu wa Maabara anaji Feel inferior mbele ya Clinician kwa vile ni incompetent wakati sote tunategemeana katika mnyororo wa kutoa huduma za afya.
 
inasikitisha unazihilisha aunakitu kichwani

Md gan anaesomea text za maabara chuo gan ambapo wanafundishwa nikasome uko
Mzee wangu umeuliza swali zuri sana lakini kwa makusudi hujapewa jibu zaidi ya kejeli.

Mtu makini hujibu hoja kwa hoja. Ukiona kuna ubabaifu basi jibu jepesi ni kwamba hajui anachoongea.
 
umeamia kwenye kiswahili kwani umesikia chuo nimesoma ngeli na viambishi
Kama kweli umesoma lab na katika chuoni kwako kulikua na MDs basi huwezi Pinga hili...ila kama umesoma diploma sikushangai ukipinga
 
Mzee wangu umeuliza swali zuri sana lakini kwa makusudi hujapewa jibu zaidi ya kejeli.

Mtu makini hujibu hoja kwa hoja. Ukiona kuna ubabaifu basi jibu jepesi ni kwamba hajui anachoongea.
Ina maana modules za MD huzijui? MD anasoma mpaka lab diagnosis, pharmacology nk....maana ya MD nn medical doctor..ana gusa takribani Kila fani...kwa sababu umechagua kukaza fuvu na hio lab yako sawa
 
Yaas, kabisa zamani hizo ambapo majitu yanaingia lab kufanya kitu kisichojulikana kuja na majibu mapya kabisa. Scientists.

Sasa hivi watu wengi wanaperform routine tasks tu na sio wa lab tu.

Wote tumegeuka matechnician ma fundi sanifu. Ule uanasayansi umepotea.

Kila kitu kimeshadogmatiziwa wote tunafata procedures.

Hii sio lab tu, ufamasia, uinjinia popote tu aani.
Forgive the kiswanglish, imewalenga wa kuelewa ujumbe na kuuishi sio kuchunguza visheriasheria vidogo kama manyumbu.
 
Ina maana modules za MD huzijui? MD anasoma mpaka lab diagnosis, pharmacology nk....maana ya MD nn medical doctor..ana gusa takribani Kila fani...kwa sababu umechagua kukaza fuvu na hio lab yako sawa
Muheshimiwa, ulipaswa utuambie kwamba Chuo X wanafundisha MDs ku run Lab operations ili na sisi tupeleke watoto wetu wakasome hapo ambapo wanazalisha madaktari wanaojua Kufanya Lab Diagnostic Procedures.

Infact, usije kutuambia kwamba Daktari kujua ni vipimo gani vifanyike ili ku rule out Predisposing Signs & Symptoms ndo kujua kuCarry out hizo procedures na ndo hapa naona uelewa wako ni hafifu sana.

Emu tuambie ni chuo gan hicho kinatoa MDs wanaojua ku run Lab tests tofauti na Rapid Tests??
 
Ina maana modules za MD huzijui? MD anasoma mpaka lab diagnosis, pharmacology nk....maana ya MD nn medical doctor..ana gusa takribani Kila fani...kwa sababu umechagua kukaza fuvu na hio lab yako sawa
nimegundua ww dogo hujielewi wewe na upo hapa kuwaongezea njaa tu wenzako

haupo smart na hizi taaluma unazijua juu juu tu.......hivi modules za MD's zikiwa na lab diagnosis ndo anafundishwa kuzifanya hzo diagnosis?.......au unadhani lab ni kuperform mRDT tu?......jitafakari.
 
Kama kweli umesoma lab na katika chuoni kwako kulikua na MDs basi huwezi Pinga hili...ila kama umesoma diploma sikushangai ukipinga
tatizo aujibu hoja ngoja nikusaidie.
MD anaingia kwenye lab test za maabara kujua just basics as part of the study course eg microbiology, parasitology or pathology etc na sio MD tu,DDS ,Nurse, Physiotherapy na Med lab scientist wote wanaingia kwenye masomo kama Microbiology lakini hii aitoshi kuwafanya wajue laboratory tests kutokea preparation to the results reporting.
inapofika semester 4 lab yeye anaendelea na test kiundani lakini wengine awaendelei kusoma
unachokiongelea wewe ni kama vile darasani unaposoma parasitology nikajua Naegleria fowleri anatibiwa na Amphotericin B au Ascaris anatibiwa na albendazole basi nisem na mm ni better than pharmacist kwani najua test pia najua na dawa. Grow up
 
nimegundua ww dogo hujielewi wewe na upo hapa kuwaongezea njaa tu wenzako

haupo smart na hizi taaluma unazijua juu juu tu.......hivi modules za MD's zikiwa na lab diagnosis ndo anafundishwa kuzifanya hzo diagnosis?.......au unadhani lab ni kuperform mRDT tu?......jitafakari.
Huyo dogo ni miongoni mwa vijana wengi wanaohitimu vyuo kwa ujanja ujanja mwingi ikiwemo kwa kununua mitihani alimaarufu kama Possible (Gaka).

Dogo ana Diploma alafu anajifanya Scientist wa Zonal RH.

Quality Management System (QMS) inahitajika sana ili watumishi wawe na Continous Medical Education makazini ili kuokoa vilaza kama hawa.

Mfano: 1. Chuo kikuu cha Kampala International University Tanzania wanafundisha Somo la Pharmacology kwa wanafunzi wa maabara ngazi ya Shahada (Scientists), lakini haiwafanyi kuwa wafamasia waende kuPrescribe na kuDispense dawa.

2. Mwanafunzi wa shahada ya maabara anafundishwa kila ugonjwa na dawa mahususi ya matibabu kama Baseline tu lakini hamfanyi kuwa competent katika matibabu ya dawa maana kuna vitu baadhi havijui kuhusu dawa kama Dosage, Contraindications, Side effects & Management.
 
Back
Top Bottom