Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Medical laboratory qualification zikoje Kwa form four?Md ada kubwa sanaa hasa private na medical lab atlist unaweza afford afuu vyuo vya ma MD ni vingii sana kuliko Medical lab hivoo kufanya medical lab kuw na watumishi wachache na marketable
Umeongea kwa usahihi mkuu.Hizi taaluma hazitafuti bingwa Nani?
Kiuhalisia, MD anasoma almost katikati ya kila taaluma ya Afya halafu mkazo anaweka kwenye prescription na procedures.
Fafanua kidogo Mkuu Gkupitia conversation nimefaham Nani ni Lab Scientist na Nani ni Lab technologist.
Mzee wangu umeuliza swali zuri sana lakini kwa makusudi hujapewa jibu zaidi ya kejeli.inasikitisha unazihilisha aunakitu kichwani
Md gan anaesomea text za maabara chuo gan ambapo wanafundishwa nikasome uko
Wambie bro.. wanapinga tuHizi taaluma hazitafuti bingwa Nani?
Kiuhalisia, MD anasoma almost katikati ya kila taaluma ya Afya halafu mkazo anaweka kwenye prescription na procedures.
Kama kweli umesoma lab na katika chuoni kwako kulikua na MDs basi huwezi Pinga hili...ila kama umesoma diploma sikushangai ukipingaumeamia kwenye kiswahili kwani umesikia chuo nimesoma ngeli na viambishi
Ina maana modules za MD huzijui? MD anasoma mpaka lab diagnosis, pharmacology nk....maana ya MD nn medical doctor..ana gusa takribani Kila fani...kwa sababu umechagua kukaza fuvu na hio lab yako sawaMzee wangu umeuliza swali zuri sana lakini kwa makusudi hujapewa jibu zaidi ya kejeli.
Mtu makini hujibu hoja kwa hoja. Ukiona kuna ubabaifu basi jibu jepesi ni kwamba hajui anachoongea.
ZamaniNaikubali sana lab, nnaonaga kama li profesa ivi lipo lab. Linachunguza kitu real laivu linakuja na majibu. Pure facts.
Haya ndo ma mwanasayansi kweri kweri
Waalimu tunaruhusiwa kukomenti???
Yaas, kabisa zamani hizo ambapo majitu yanaingia lab kufanya kitu kisichojulikana kuja na majibu mapya kabisa. Scientists.Zamani
Muheshimiwa, ulipaswa utuambie kwamba Chuo X wanafundisha MDs ku run Lab operations ili na sisi tupeleke watoto wetu wakasome hapo ambapo wanazalisha madaktari wanaojua Kufanya Lab Diagnostic Procedures.Ina maana modules za MD huzijui? MD anasoma mpaka lab diagnosis, pharmacology nk....maana ya MD nn medical doctor..ana gusa takribani Kila fani...kwa sababu umechagua kukaza fuvu na hio lab yako sawa
Unalinganisha kidole na kucha.Mimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist
nimegundua ww dogo hujielewi wewe na upo hapa kuwaongezea njaa tu wenzakoIna maana modules za MD huzijui? MD anasoma mpaka lab diagnosis, pharmacology nk....maana ya MD nn medical doctor..ana gusa takribani Kila fani...kwa sababu umechagua kukaza fuvu na hio lab yako sawa
tatizo aujibu hoja ngoja nikusaidie.Kama kweli umesoma lab na katika chuoni kwako kulikua na MDs basi huwezi Pinga hili...ila kama umesoma diploma sikushangai ukipinga
Mgonjwa Mwingine huyu hapa, Daktar wa Manesi karibu.Mimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist
Huyo dogo ni miongoni mwa vijana wengi wanaohitimu vyuo kwa ujanja ujanja mwingi ikiwemo kwa kununua mitihani alimaarufu kama Possible (Gaka).nimegundua ww dogo hujielewi wewe na upo hapa kuwaongezea njaa tu wenzako
haupo smart na hizi taaluma unazijua juu juu tu.......hivi modules za MD's zikiwa na lab diagnosis ndo anafundishwa kuzifanya hzo diagnosis?.......au unadhani lab ni kuperform mRDT tu?......jitafakari.
Mmmh.. [emoji849]Pamoja mkuuu afu ma md wako wengiiiii sana now soko la medical lab lnakua kubw xn
Wewe unasema lakini haipo hivyoMimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist
Umelewa?Mimi nasema kwa sasa katika ya medical laboratory scientist na MD bora ni medical laboratory scientist
Haaaaaa...! Mwaka gani? Kwa Cheti gani?Hapana mkuu sijapiga med lab, nimesoma CO then degree ya kitu kingine nje ya afya.