Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.
Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh.600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.
Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi
Nikapendekeza mapendekezo kadhaa ikiwemo soda ya chupa iuzwe sh.500 tu na nikatoa sababu. Wazo likafika HQ Dar es salaam likapita, kampuni ya SBC /Pepsi ikapunguza soda na kuanzia kuuza soda kwa sh . 500 tu huku coca-cola wakiendelea kuuza soda kwa sh.600 , hali ikawa ngumu kwao wakanyoosha mikono, wakabadili bei na kuuza soda ya chupa kwa sh.500 mpaka leo .
Majuzi ndio nimekumbuka nilishasahau kuhusu hili jambo.
Haya mnishukuru basi ili niwafanyie jambo jingine zuri.
Sasa siko huko kwenye masoda tafadhali.
Mbona sea cliff wameniuzia soda elfu 7,naenda kudai chenji

BTW Hongera sana mkuu
 
Ni 2013 kweli? Sio kabla ya mwaka huo?

Wenye kumbukumbu hebu tuhakikishieni
 
Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.
Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh.600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.
Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi
Nikapendekeza mapendekezo kadhaa ikiwemo soda ya chupa iuzwe sh.500 tu na nikatoa sababu. Wazo likafika HQ Dar es salaam likapita, kampuni ya SBC /Pepsi ikapunguza soda na kuanzia kuuza soda kwa sh . 500 tu huku coca-cola wakiendelea kuuza soda kwa sh.600 , hali ikawa ngumu kwao wakanyoosha mikono, wakabadili bei na kuuza soda ya chupa kwa sh.500 mpaka leo .
Majuzi ndio nimekumbuka nilishasahau kuhusu hili jambo.
Haya mnishukuru basi ili niwafanyie jambo jingine zuri.
Sasa siko huko kwenye masoda tafadhali.
Bongo ukinuna umependa
 
Nimekwishakujua ID yako. Sitasema nimekujuaje ili usijue ID yangu pia.

Tunashukuru mkuu.
Sasa tunasubiri hilo jambo jingine,,je,ni lipi?
 
Mkuu kwa hichohicho unachokiona ni kidogo amini kuna watu utawavusha mahala na Mungu atakupa kufanya makubwa zaidi hapo baadaye.

Nashukuru kwa kunipa moyo na Mungu aniwezeshe nifanye hivyo

Ntaelekeza nguvu kuwasaidia baadhi especially yatima
 
Back
Top Bottom