Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

Mbona sea cliff wameniuzia soda elfu 7,naenda kudai chenji

BTW Hongera sana mkuu
 
Ni 2013 kweli? Sio kabla ya mwaka huo?

Wenye kumbukumbu hebu tuhakikishieni
 
Bongo ukinuna umependa
 
Nimekwishakujua ID yako. Sitasema nimekujuaje ili usijue ID yangu pia.
 
Tunashukuru mkuu.
Sasa tunasubiri hilo jambo jingine,,je,ni lipi?
 
Mkuu kwa hichohicho unachokiona ni kidogo amini kuna watu utawavusha mahala na Mungu atakupa kufanya makubwa zaidi hapo baadaye.

Nashukuru kwa kunipa moyo na Mungu aniwezeshe nifanye hivyo

Ntaelekeza nguvu kuwasaidia baadhi especially yatima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…