Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #41
ASante mkuu nimesoma,.Mitchell Leejay49 zefa Karungi baby girl Zuleykha Mnafiki Wa Kujitegemea The unpaid Seller mueendelezo uho mkinaliza hapo tujadili kidogo ungekuwa wewe ungetumiaa chia gani uepuke na janga ilo
Ulipoenda kununua chapati ungesepa !ungemuuliza yule mama wanapouza kitimoto ili ujipake mafuta au ubebe mfupa mdogo!hayo majini wangeshindwa KAZI kabisaa!!Mitchell Leejay49 zefa Karungi baby girl Zuleykha Mnafiki Wa Kujitegemea The unpaid Seller mueendelezo uho mkinaliza hapo tujadili kidogo ungekuwa wewe ungetumiaa chia gani uepuke na janga ilo
Acha uvivu embu soma bhna
Kwani unafikiri ni wazuri wakitaka lao?ASante mkuu nimesoma,.
Ila nyie kama ni kweli basi wachawi ni watu wabaya sana
Ahahah utaki maisha mazuri yanapatikana kwa watu usio wajua unao wajua hawewezi kukupa maisha mazuriMamaaa! Nazidi kuogopa watu nisiowajua mimi 🤭
Kato kato unaongea as if ni vyepesi ivyo ety?Ulipoenda kununua chapati ungesepa !ungemuuliza yule mama wanapouza kitimoto ili ujipake mafuta au ubebe mfupa mdogo!hayo majini wangeshindwa KAZI kabisaa!!
Na wewe muoga wa wachawiMambo ya kichawi tena!
Nayatafuta mwenyewe maisha mazuriAhahah utaki maisha mazuri yanapatikana kwa watu usio wajua unao wajua hawewezi kukupa maisha mazuri
Sema shida hawezi kujua yule mzee amemwekea mtego gani,.Ulipoenda kununua chapati ungesepa !ungemuuliza yule mama wanapouza kitimoto ili ujipake mafuta au ubebe mfupa mdogo!hayo majini wangeshindwa KAZI kabisaa!!
Ahahha ila usiogope sanaNayatafuta mwenyewe maisha mazuri
Kuna yale mawazo unawaza kusmea si ajabu nikiongea hapa anasikia au ata nikiwaza uwenda anajua uoga unazidoSema shida hawezi kujua yule mzee amemwekea mtego gani,.
Kama aliweza kujua baba yake anaumwa bila kuambiwa
Hatari
Siku hizi Dunia sio salama tena, kutolewa figo nje njeAhahha ila usiogope sana