Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

Kwa sheria ya marekani, huwezi kuajiriwa wala kufanya kazi kwenye sekta ya anga la juu kama sio mzaliwa wa marekani au raia wa asili wa marekani.
 
Pia mkuu na maswali mengine mawili
1.Je Nasa wana project yoyote wanafanya na DARPA
2.Je Nasa ina mahusiono gani na US space Army
3.Je Nasa ina mahusiano na Blackrock au hata Lockheed Martin?
 
Rocket zilizorushwa miaka ya 60-70 na ambazo bado zinasafiri anga za mbali,zinatumia technology gani kuwa controlled ama mmazimonitor vp?
Rocket control ni autopilot ... ground station kazi yao ni kumonitor the process tu lakini pia crew member wanacontrol chache sana mfano kuinitiate na kuabort the mission.
 
Kwa sheria ya marekani, huwezi kuajiriwa wala kufanya kazi kwenye sekta ya anga la juu kama sio mzaliwa wa marekani au raia wa asili wa marekani.
Hili sio kweli kuna jamaa mmoja nafkiri ni mchaga ana cheo kikubwa sana Nasa na nafkiri hata ulinzi anao ngoja nitakutaftia jina
 
Hili sio kweli kuna jamaa mmoja nafkiri ni mchaga ana cheo kikubwa sana Nasa na nafkiri hata ulinzi anao ngoja nitakutaftia jina
Kwamba sio US citizen? Hakuzaliwa marekani?

Other than extremely rare exceptions, you must be a U.S. citizen in order to work for NASA as a civil service employee.
-NASA Website, Careers
 
Si kweli ngoja aje kujibu,miaka hiyo hatukua na wigo mpana wa computer,swali langu liko hapo,mawasiliano ya hicho chombo na dunia yalifanyika vp na yanaendelea kwa namna gani?
So ground station walitumia computer programs toka kipindi hicho?na kuna rocket ambayo imerushwa miaka zaidi ya arobaini na bado inasafiri?
 
Mimi nimesoma Harvard
Screenshot_20231216-231425.png
 
  • Kicheko
Reactions: 511
1. Sisi tupo ndani au nje ya dunia?
2. Unaamini uwepo wa Firmament iliyoandikwa kwenye Biblia inayofunika dunia? Na kama unaamini ipo, tunawezaje kutoka nje ya hiyo Firmament na kwenda sayari zingine?
3. Nasa hawajahi kwenda sayari zingine, ni kweli au siyo kweli?
 
Ukiangalia picha za nasa mwezini inaonesha ni kama mtu aliye duniani anavyoangalia mwezi kwa juu.kwann inakuwa vile yani kama ayupo mwezini.
 
So ground station walitumia computer programs toka kipindi hicho?na kuna rocket ambayo imerushwa miaka zaidi ya arobaini na bado inasafiri?
Ni kwambie tu mkuu jamii inachotumia sio U.S.A au mataifa makubwa yanatumia.

Technolojia ni kubwa kuliko unavyodhani wenzetu wako mbali sana.

Fuatilia Edward snowden leaks utajifunza kitu ukipata ugumu nijulishe nitashare na wewe some files.

Kusuhu rocket kusafiri miaka 40 sio kweli mkuu maana rocket zinatumia mafuta.
 
Back
Top Bottom