Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

Go straight ni technology gani ilitumika kwa mawasiliano ground station na rocket?kuhusu mafuta ni sawa lkn kuna zinazotumia nguvu ya nuclear right?
 
nasa hawawezi kuruhu mtu wao aje kublah blah umu jamii forum
 
Go straight ni technology gani ilitumika kwa mawasiliano ground station na rocket?kuhusu mafuta ni sawa lkn kuna zinazotumia nguvu ya nuclear right?
Saturn V (apollo 11) kulikuwa na service module ambayo ilikuwa inatumia S-band for up and downlink for services such as tracking,voice na data.

Inshort kulikuwa na S-band transponder.
 
Mfanyakazi wa NASA pia aliwahi washwa na matako akaja omba msaada humu.. na mkaficha siri?! Thread 'Msaada: Muwasho mkali makalioni baada ya kutembea na mke wa mtu' Msaada: Muwasho mkali makalioni baada ya kutembea na mke wa mtu
Je,alipona muhasho au ndio umehamia ubongoni
Cc MSAGA SUMU
 
Upo ofisi namba ngapi? Mimi nipo hapa nina mwaka wa pili sasa. Niko ofisi za chini huku
 
Yule Jogoo aliyewika baada ya Petro kumkana Yesu mara tatu alikuwa wa nani? Na alikuwa anatuma mawasiliano kwa nani?
Dadeki
Akijibu pumba hapa tunahitimisha yeye sio nasa
Maana mwanamawasiliano kweli angejua ujumbe
 
Reactions: 511
Jf noma sana mwaka 2011 kama sikosei aliluja mwamba mmoja hivi akajimwambafy yeye anaishi ulaya nchi sikumbuki aisee alipoanza kupigwa maswali na kufukunyuliwa nyuzi zake hakurudi tena mpaka leo kiufupi aligeuka laughing stock ya if na I'd alibadili sasahivi ndio kinaenda kumkuta huyu cosmonaut wa nasanyoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…