Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Mimi Muislam ila natamani kutoka huku nije huko unakotoka lakini nikija huko ni RC, Anglican au SDA hao walokole na Huduma zao hawana tofauti na Maustaadhi waganga.
 
Kijana wa Mudi kwenye 1 na 2.
 
Ni heri kuishi bila dini kuliko kubadili dini, yaani ni bora mtu ukafanya mishe zako ukaendelea na maisha yako kuliko kujiita Ali kumbe ulikuwa unaitwa Yohana.
 
mungu wa ukweli aliyeumba mbingu na ardhi na asie kuwa na mtoto mungu huyo ndie atakaekuokoa kutoka kwenye giza kuja kwenye mwanga uislamu, wahi usichelewe mauti ya kakukuta upo huko hasara kwako utazikwa na tai na suti
 
Siku akifa wanamkamua mavi hata kama bado yupo hai fasta kaburini

kuondoa uchafu ili azikwe msafi na kuongea na mungu akiwa msafi, sio una mavi ya nguruwe tumboni unazikwa umevalishwa suti tumbo mavi kibao ulikula nguruwe unaenda kuonge na mungu
 
Mimi Muislam ila natamani kutoka huku nije huko unakotoka lakini nikija huko ni RC, Anglican au SDA hao walokole na Huduma zao hawana tofauti na Maustaadhi waganga.

nakufahamu sana acha mbwembwe weww ni mkristo wa roman katoliki kindaki ndaki
 
Uislam ndio dini ya haki utoke hata hata uende ulaya ibada ni moja tu na miaka yote haibadiriki Mungu mwenyewe ameahid kuitunza dini yake
 
Yaani mtu anajipinda kuandika maneno million eti atuambie maana ya uislamu [emoji23][emoji23]
 
Ndugu yangu Mganguzi upo sahihi kabisa dini ya kiislamu dini pekee iliyobaki na mafundisho yake bila kubadilika na haitabadilika mpaka dunia inafika mwisho.

Karibu sana katika dini iliyo sawa. Uzuri katika Uislamu unakuwa bado unamuamini Issa mwana wa Maryam kuwa ni Mtume wa Allah na Mitume wote waliopita tunawaamini.

Nakushauri muombe muislamu yeyote unayemfahamu au nenda msikiti wowote ulio karibu muombe sheikh akupe Quran ya tafsiri ya kiswahili usome halafu ndio ufanye maamuzi.

Nakuhakikishia hutajutia maamuzi yako. Usiwasikilize hawa wachawi akina Mokiti etal ambao wao kazi yao ni kumtukana Mtume Muhammad SAW na kuutukana uislamu throughout. Hawa wasikukatishe tamaa, wewe jisomee mwenyewe maandiko na muombe Mungu akuongoze.
 
mungu wa ukweli aliyeumba mbingu na ardhi na asie kuwa na mtoto mungu huyo ndie atakaekuokoa kutoka kwenye giza kuja kwenye mwanga uislamu, wahi usichelewe mauti ya kakukuta upo huko hasara kwako utazikwa na tai na suti
Nipe tofauti ya kuzikwa na tai na suti na kuzikwa uchi.
 
Uislam ndio dini ya haki utoke hata hata uende ulaya ibada ni moja tu na miaka yote haibadiriki Mungu mwenyewe ameahid kuitunza dini yake
Kwamba Shia na Suni ibada zinafanana!!???
Peleka uongo wako kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Endelea kuruka ruka mkuu huku ukikosoa hivyo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…