Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Dunia ukifuata makundi ni chanzo cha kupotoka ,fuata mafundisho na jiepushe na makundi maana hayo makundi yanaongozwa na watu kama wewe.
Binadamu kiuhalisia wana uwezo unaofuata kwa kuelewa mambo ila wapo ambao wana IQ kubwa ,ila ukweli ni kwamba binadamu hata wawe na tofauti fulani kifedha ,elimu ,mamlaka na mambo mengi ila wote wanakuwa ni binadamu.
Kama dini ni maandiko basi fuata vitabu na sio makundi ya watu ,hata hapa bongo katiba ipo ila viongozi hawafuati ni kama imewekwa pembeni ...Ishu ya demokrasia imebaki kweny makaratasi.
Jambo unaliona lina mashaka sana achana nao ,kufuata mkundi sijui madhehebu ni mwanzo wa kupotoka jaribu kusoma na uwe katika sehemu dlama achana na mkundi.