Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

mungu wa ukweli aliyeumba mbingu na ardhi na asie kuwa na mtoto mungu
Ivi Mungu akisema ata yupo mara million na akasema ao ni watoto wake wewe unachompingia Mungu ni kipi na kumuwekea limitations? Yani kumwambia hawezi kufanya hivyo
 
Yesu hayupo kwenye Koran wala uislam, uislam na Koran una mtu anaitwa Issa ambae babu yake ni Imran

Acha kutumia takiya
Sawa lkn yy ameshazoweya kumuita Yesu ndio nikamwambia hivo kwa lugha ambayo yy ameizoweya ni sawa na ss waswahili Allah wanimwita Mungu au Mwenyezi Mungu Wazungu God Wahindi Baguwani n.k.
 
Bora afrika tuwe na dini yetu wenyewe ma a hizi za kuletewa zinatufanya tunachukiana na kuuana wenyewe kwa wenyewe,ndio lengo lao kweli
Nenda kwenu Dini zipo kibao kuna mizimu yenu kibao kwenye mapango kwenye miti kwenye mashimo wewe nenda tu hizo ndio za babu zenu kwa nini umeziacha .
 
Nenda kwenu Dini zipo kibao kuna mizimu yenu kibao kwenye mapango kwenye miti kwenye mashimo wewe nenda tu hizo ndio za babu zenu kwa nini umeziacha .
Elewa kuwa kila watu na taifa Lina dini zao. Ila Sasa waafrika ndio tumepotea mpaka imefikia mahala majina yetu ya asili hatuyataki eti tunataka ya waarabu na wazungu kuwa ndio majina mazuri huko mbinguni.
Wahindi Wana dini,lugha,mavazi,majina,chakula aka utamaduni wao. Njoo kwa waarabu,wajapan, wachina,wazungu,Ila waafrika ndio tumeamua kuolewa na Hawa mabwana wawili waarabu na wazungu yaani inafikia mtu kuitwa jina la kiafrika inaonekana Kama Ni outdated fulani ,yaani jamaa wametutawala mindset vibaya mno. Yaani mtu anajiona ufahari mno kuvaa vazi la mzungu na kula mfano chakula Cha kiitaliano anaonekana Kama mjanja amesoma na amestaarabika.
Yaani mtu kuingia hoteli kubwa pale posts like regency or Serena akaomba uji na mihogo Kama breakfast anajiona kuwa amekuwa nyani,anataka pizza na dubai 🍟.
Yaani jamaa utamaduni wao kila kitu mwafrika anapoteza identity yake mazima,akaolewa Mana tulikuwa na dini before ya Hawa ngozi ya nguruwe hawajaja.na kweli ngozi yao Ni ya nguruwe hawatofatiani bora sie
 
Unapoamua kufuata imani flani, tambua kwamba haufuati kanuni.

Imani ni imani tu

Hakuna dini ya kweli.

Kwasababu mafundisho ya dini hayana ukweli na uhalisia wowote.

Kusema kwamba kuna dini ya kweli ni sawa na kusema kwamba kuna rangi nyeupe ambayo ni nyeusi.

Waamini mnapaswa kuwa na hekima zaidi katika kujadili masuala ya imani, ingawaje ni ngumu kuelewana kwasababu wote hamfuati kanuni.

Tatzo linakuja pale kwenye hiyo imani unayotaka kuhamia (japo kwa kukuelewa tu naamini wewe tayari ni mfuasi wa dini ya Kiislamu) kwasababu katika msingi wa imani na mafundisho yake tayari yapo kupiga vita ukristo na uyahudi kwa nguvu zote
 
Reactions: 511
Wasalimie huko uendako, ila ujue Mungu ni mmoja na dini haikupeleki mbinguni
 
Reactions: 511
Huyo ni maamuma mmoja tu anajifanya Mkristo. Eti watu kucheza makanisani ndio kuna mfanya aache Ukristo? Mbona misikitini na kwenye qaswida wanacheza? Eti wanavaa vibaya, mbona hata wanawake wa kiislam nao wanavaa vibaya? Very funny.
 
Kwamba uwe sheikh mchinja buchani
 
Tenda wema, siku ya saba pumzika, fanya kazi shika amri. Makanisa ni 🏠 za Mungu we ingia msikitini na kanisani
 
Ama hakika Akili yako inafanya kazi sawasawa.
 
Shida unayo wewe mkuu wala sio kanisa wala ukristo

Wewe uliyeiona hiyo shida unadhani unaiona Kwa Bahati mbaya?

Mungu aseme nawe Kwa andiko hili

Ezekieli 22:30 Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu.

Tafakari chukua hatua Mungu haitaji kundi kubwa anakuhutaji wewe tu uliyeandika hapa aiponye nchi

Sasa adui anakutoa mchezoni kizembe kabisa elevuka ndugu

Tatizo linatatuliwa na aliye liona mkuu hebu amua kuwa sababu ya kusimama kwenye kweli yumkini watapatikana hata watu wawili wataoacha njia mbaya nakurudi kwenye mstari
 
Reactions: 511
Binamfsi ni msabato ila nina zaidi ya 10 yrs sijaenda knsn sababu moyo wangu ulishasilim sema tu naogopa kutengwa na familia na mke wangu. Ila moyoni mm tayari ni mwislam na jina langu ni Ally
Tupe story yako kiongozi, alaf unitag tunaitaj kujifunza kaka
 

Wewe muislamu bhn acha propaganda za kitoto.
 
Reactions: 511
Hivi ili uwe muislamu ni lazima ubadili na jina.? Je ukiwa muislamu halafu ukakataa kujiita jina la kiarabu na ukaitwa Masumbuko Mtoro kuna tatizo gani?
Maswali mengin sio yakuuliza mzee. Kwan hujaona waislam wanaoitw makame? Faki ? Pandu ? Na majina mengine ya kikabila na kitamaduni ?? Acheni kukariri kwamba uislam ni uarabu. Mbona mambo yapo wazi. Kwani wakristo wote wanao majina ya kizungu ??? Si wapo wengin weng wenye majin ya kikabila. Tatizo lenu mnawananga sana waislam lkn hamyaoni ya upande wa pili.
 
Je ues asingeamka si wangekufa wote mpk yesu mwenyewe
 
Onesha nilipotukana
Mtumishi Mokiti. Natumai hujambo kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Mimi nili download Jamii forum mpya nikapoteza mazima. Yaani ile unayoweza kuisoma kwa Web View.
Huku kuna mijadala michache sana. Na ipo kisiasa zaidi. Huwezi kuwaona walio like na ku like. Mada zinachangiwa na watu wachace sana na zinaanzishwa kiuchache sana.
Ni kwamba hakufai kabisa. Baki na hiyo hiyo JF ya zamani.
Cha msingi sasa hivi watu wengi wa Dini ya Kiislamu wanabatizwa na kuwa Wakristo.
Usisubutu kudownload JF mpya, hakufai mazimani sawa
Uzuri wa ukristo ni democratic sana...ukiamua kutoka ni hiyari yako wala sio vita.
Ila ingekuwa unatoka upande wa pili kwenda ukristo weeee hawakawii kukula kichwa!!.
ni vita!.
Jamii za Cult zote ndivyo wanavyo fanya
Ukimwacha Shetani ni lazima akuuwe. Hataki uijue Kweli ili uwe huru.
 
Naelewa allah kasema usiwe na urafiki na mtu yeyote asie kuwa muislam
Kumbe Allah ana Mungu wake pia.

كَلَّا ۖ إِنَّا خَلَقْنَاهُم مِّمَّا يَعْلَمُونَ


(AL - MAA'RIJ - 39)
La, hasha! Hakika Sisi tumewaumba kutokana na wanacho kijua.


(AL - MLHakikawanacho .

(AL - MAA'RIJ - 40)
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza.

(Kumbuka hapo neno "sisi" ndio Allah mwenyewe)
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…